Abayesu bayesu
Senior Member
- Jan 29, 2018
- 119
- 124
Habari wapendwa
Nawasalimu kwa jina la Bwana wetu Kristo Yesu
Juma pili nilikuwa miongoni mwa watu waliohudhuria ibada mchungaji alihubiri kuhusu moyo wa mwanadamu akasoma kitabu cha Mithali 4:23 unasema
23 Linda moyo wako kuliko yote uyalindayo; Maana ndiko zitokako chemchemi za uzima.
Anafafanua ya kwamba mambo yote yanayotokea kwenye maisha yetu huwa tunayaandaa moyoni na kila unalowaza liwe baya au jema litatokea tu ndiyo maana Biblia inatuambia tulinde sana moyo kuliko yote tuyalindayo
Unabii : Mchungaji akasema wakati analiombea Taifa la Tanzania Mungu akamwambia kuna malalamiko yamejaa kwenye anga la Tanzania, akaendelea kusema kuwa roho huwa zinawasiliana kuna mtu unaweza kuwa humpendi hujawahi kumwambia lakini ukashangaa anajitenga mbali na wewe, Mungu akamwambia kwanza kama Tanzania tunahitaji maishani mazuri tuombee nafsi zetu zilizojaa manung'uniko, hasira, visasi tuziponye nafsi zetu tusafishe anga letu naye mungu atafanya kitu kwa ajili yetu.
Walioko rohoni wataelewa zaidi
Asante kwa kusoma ujumbe huu