Kwa hili wamiliki wa mitandao ya simu mnatuonea

Kwa hili wamiliki wa mitandao ya simu mnatuonea

MATHIAS KABYEMERA

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2013
Posts
1,793
Reaction score
573
Mtu umepoteza simu, unaambiwa uende na kitambulisho halali. Unakibeba wanakuomba photocopy yake unaitoa. Mwisho wa siku wanakuambia utaje namba tano ulizokuwa unawasiliana nao. Nizitaje kutoka wapi wakati simu imeibiwa.
kama hili ndilo hitaji, kwanini nilete vitambulisho?
Nadhani hapa mnahitaji kutafuta mbinu mbadala ya kutatua tatizo hili.
 
Back
Top Bottom