Makaburi ya halaiki yagunduliwa Rwanda

mwanamwana

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
1,075
4,105
Wenyeji wanaamini kuwa maeneo hayo yana maiti ya watu takriban elfu tatu.
_101035274_kimbari.jpg

Ugunduzi huo umekuja wiki moja baada ya muda ya maombolezi rasmi ya kukumbuka maafa makubwa ya dunia nchini humo. Watu wakujitolea wamekuwa mstari wa mbele katika kuchimbua makaburi hayo, baada ya kuambiwa kuhusu makaburi hayo na mwanamke mmoja alisema kwamba aliona miili hiyo ikitupwa hapo, zaidi ya miongo miwili iliyopita.

Ndugu wa walioathirika na mauaji ya kimbari wamekuwa wakutafuta ishara yoyote ya kuwabainisha kama wapendwao wao walizikwa katika eneo hilo.

Lakini ugunduzi huo umezua maswali mengi miongoni ya vyombo vya habari nchini humo ,je ni kwa nini watu waliofahamu kuhusu makaburi hayo hawakujitokeza mapema.

Baadhi waliohukumiwa kwa kutekeleza kimbari wamemaliza hukumu yao na kuachiliwa kutoka gerezani.

Chanzo: BBC-Swahili
 
Siku hizi baadhi ya viongozi afrika wanaiga mfano wa Rwanda
 
Acheni kutukumbusha ' Genocide ' yetu kwani ilitokea kweli, tukauana, tukapatana, tukasameheana kwa Sisi ' Watutsi ' kuwa juu ya ' Wahutu ' kwenye kila kitu na wamekubali na sasa wote tunaijenga Republic of Rwanda. Acheni kuhangaika na Rwanda kwa sasa tafadhali bali wekeni muda mwingi katika kuangalia ' changamoto ' zilizopo nchini Tanzania na jinsi ya kuzitatua.
 
HIVI CHANGAMOTO ZENU MUSHAZIMALIZA VILE??
 
Back
Top Bottom