Dodoma: Mwanafunzi UDOM akamatwa na Jeshi la Polisi kwa kuhamasisha maandamano. Aponzwa na Mange Kimambi

za chembe

JF-Expert Member
Jul 22, 2017
1,064
4,093
Hivi punde maafisa wa Polisi (Isagana) wamemweka nguvuni mwanafunzi wa UDOM aliyepostiwa na Mange Kimambi akisapoti maandamano.

UDOM.jpeg
 
Vizuri kabsa....Nilijua tu DOGO atakamatwa ALIJIEXPOSE MNO
Akamuite MANGE aje amsaidie....Kila siku nasema haya MAANDAMANO yanayoitishwa na MWANAMKE MCHAFU kama KIMAMBI(yeye kufikisha UJUMBE ni kutoa matusi makali na ya nguoni hata kwa ), kamwe MWENYEZI MUNGU Hawezi ruhusu huu upuuzi kufanikiwa KUPITIA HILI JIKE LA AJABU...Basi ATLEAST muuitisha maandamno tungekuwa nae hapa nchini KIDOGO tungeona UZITO wake na tungeamini kweli ana uchungu na TAIFA hili na kajitolea kwa LOLOTE...na si afanyavyo sasa yeye yupo SHIMONI nawatanguliza wenzake kama CHAMBO.....kwenye hili MANGE kafeli mno..UNLESS otherwise KUNA KAKIKUNDI kameeandaliwa KUFANYA HUU UPUUZI hiyo siku na ndicho kinachompa kiburi MANGE na hao WAFADHILI wake.....
Dalili ya MVUA ni mawingu kwa siku zilizo baki kufikia hiyo TAREHE lazima TUNGEKUWA TUNAONA JOTO lake LAKINI mpaka sasa ni kimyaa si kama tunavyoaminishwa na HILI JIKE LA JABU...
Mfano mdogo tu aliitisha WATU WASAINI PETITION kupeleka OMBI UMOJA WA MATAIFA ili UN watoe tamko KUZUIA SERIKALI YA TANZANIA isiingilie hayo maandamano kwa LOLOTE sijui kwenye HILI alifikia wapi......
 
Vizuri kabsa....Nilijua tu DOGO atakamatwa ALIJIEXPOSE MNO
Akamuite MANGE aje amsaidie....Kila siku nasema haya MAANDAMANO yanayoitishwa na MWANAMKE MCHAFU kama KIMAMBI(yeye kufikisha UJUMBE ni kutoa matusi makali), kamwe MWENYEZI MUNGU Hawezi ruhusu huu upuuzi kufanikiwa nKUPITIA HILI JIKE LA AJABU...Basi ATLEAST muuitisha maandamno tungekuwa nae hapa nchini KIDOGO tungeona UZITO wake na tungeamini kweli ana uchungu na TAIFA hili...
Mungu anaupendeleo lakin ktk maufisadi ccm anawabariki balaa
 
Vizuri kabsa....Akamuite MANGE aje amsaidie....Kila siku nasema haya MAANDAMANO yanayoitishwa na MWANAMKE MCHAFU kama KIMAMBI(yeye kufikisha UJUMBE ni kutoa matusi makali), kamwe MWENYEZI MUNGU Hawezi ruhusu huu upuuzi kufanikiwa nKUPITIA HILI JIKE LA AJABU...Basi ATLEAST muuitisha maandamno tungekuwa nae hapa nchini KIDOGO tungeona UZITO wake
Umeandika point sana mkuu..na mimi nakubaliana na wewe kabisa. Huyu mwanamke mchafu anasababisha vijana wetu wanapata matatizo wakati yeye anakula bata huko Los Angels.

Lakini pia acha hawa vijana wetu wasiokuwa na akili kichwani, wafundishwe adabu na polisi. Wenye akili zao kichwani hawajishughulishi na Mange, wanasoma kwa bidii; vilaza ndiyo wanamshabikia huyu mwanamke mchafu kabisa.
 
Hivi punde maafisa wa Polisi (Isagana) wamemweka nguvuni mwanafunzi wa UDOM aliyepostiwa na Mange Kimambi akisapoti maandamano.

Safi sana, sasa tusubiri tuone kama huyo Mange atakuja kuwasaidia hao vilaza wenzake wanaokamatwa na Polisi. Ni ujinga wa kiwango cha lami kumshabikia mtu ambaye anaitisha maandamano wakati yeye anaishi Marekani.

Wewe uliyepo hapa Tanzania unakamatwa na kwenda kunyea debe, yeye Mange anaendelea kula zake bata Marekani. Huu ni uzuzu, usimbilisi na uzwazwa wa hali ya juu sana.
 
Back
Top Bottom