There is spoofed message in Gmail Accounts be careful

Emc2

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
16,808
16,834
Kama wewe n mtumiaji wa gmail Account. Kuna message zinatumwa na inaonekana umezituma wewe. Lakini ukweli ni kwamba hujazituma wewe. Na hakuna mtu aliye hack email yako. wanachofanya ni kuchukua email yako na kuitumia kwa kutuma. Inatoma kwenye domain tofauti kabisa inaitwa telus.com

Unachotakiwa na kulipoti spam au kuifuta hito message.



Kunataarifa zimesambaa duniani kote kwa sasa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom