Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

‎kwa dakika moja fikiria hii: umesimama kwenye fukwe ya bahari jioni Jua linazama. Rangi nzuri za machweo ya jua zinaenea angani kama picha iliyochorwa na mkono wa ustadi usio wa kawaida. Moyo...
9 Reactions
188 Replies
2K Views
Leo ni Mothers Day.Nakushukuru sana mama yangu,japo haupo duniani,sitakusahau kwa mema yako.Japo hukusoma japo darasa moja,kila nilipotoka shule ulikuwa ukichukua madaftari yangu kukagua tiki na...
6 Reactions
18 Replies
218 Views
Habari wanaJamiiForums, tunaopenda kusafiri iwe nje au ndani ya mipaka ya tanzania. Kusafiri ni raha sanaa kunaufanya ubongo upate maarifa mapya, mtu anajifunza mengi sana kuanzia...
15 Reactions
49 Replies
773 Views
Nimeona Instagram ya yericko Nyerere akizungumzia ugonjwa huo mpya Nipo igunga na kuna familia zimekumbwa na ugonjwa huo Yaani hayo mafua zaidi ya wiki hayasikii dawa Mwenye kujua shida nini...
1 Reactions
9 Replies
177 Views
Mitandao ya kijamii imekuwa sehemu ya maisha ya kila siku kwa vijana wengi, lakini pia imegeuka kuwa uwanja wa changamoto zisizo na maana wala faida yoyote kwa jamii. Hivi karibuni, kijana...
5 Reactions
51 Replies
2K Views
Wazungu kuna kitu wanaita classified information! Hizi ni taarifa kificho zinazofahamika kwa kaliba fulani ya watu ndani ya mamlaka ya nchi.. Hizi huwa ni taarifa za siri zinazowahusu viongozi wa...
21 Reactions
81 Replies
3K Views
Au maisha yana maana gani kwa mtazamo wako ?
3 Reactions
50 Replies
630 Views
Sitaki hata kuwapa salama pliz nimevurugwa. kwa jina naitwa, zachariano alexido. Picha la kutisha linaanzia chugastani, mtoto mzuri Moja mdogo wake na aliekua meneja wetu, mtoto wa kitanga...
1 Reactions
16 Replies
177 Views
Mwanamke akizaliwa pisi kali, (sura anayo, shepu ya kwenda) hakika kashapiga hatua kubwa ya kuuaga umasikini hata kama kwao hali ni tia maji tia maji, the only thing matters about them is mindset...
13 Reactions
109 Replies
2K Views
https://youtube.com/shorts/ckpjnHkqa9E?si=mG_23v6OuBb17h3T
2 Reactions
2 Replies
191 Views
Sabato Njema Wakuu! Leo sina maneno mengi. Nataka Sabato ya Leo ikuendee vizuri kwa kusikiliza hii ngoma.. Hii ni kwa Watu wote. Mungu wa mbinguni(aliyejuu Sana) awabariki. TaikonMaster Kwa...
4 Reactions
4 Replies
95 Views
Consider hichi kipengele ili uwe na watoto wenye IQ nzuri. ============== Afya Hivyo chagua mzazi mwenza mwenye akili ili muwe na watoto wenye akili, kanuni ya mtoto wa nyoka ni nyoka ni dhahiri...
10 Reactions
74 Replies
1K Views
Wakati nafanya utafiti kuhusu " IMANI ZA KICHAWI NA USHIRIKINA NCHINI TANZANIA" nilitembea kwenye vijiji na vitongoji vyote vinavyo sifika kwa uchawi nchini Tanzania. Moja Kato ya vitongoji...
9 Reactions
125 Replies
3K Views
Je wajua kuwa kijiko kikubwa cha 🍯 asali kinatosha kumuweka mtu hai kwa masaa 24? 📒 Je, unajua kwamba moja ya sarafu za kwanza duniani ilikuwa na alama ya nyuki? 📒 Je, wajua kuwa asali ina...
28 Reactions
57 Replies
4K Views
Ukiwa bado unaishi Duniani usikufuru kwa kufurahia matatizo ya wengine maana yaliyo mbele yako hauyajui , bado haujamaliza safari ya maisha. Maisha yamenipa hekima ya kunyamaza maana...
18 Reactions
48 Replies
589 Views
Tuangalie kwenye Kitabu cha Sahih Bukhari kipengere Kitabu cha Ndoa Hadithi ya Aisha (r.a) kuwa mtu Fulani alimwacha mkewe talaka tatu, yule mwanamke akaolewa na mwanamme mwingine ambaye vile...
13 Reactions
50 Replies
928 Views
Frankly speaking wa kenya wanadharau sana na Tanzania the way they talk abt us wanatudogosha sana they have no respect to us Halafu pia wana wivu ma maendeo ya Tanzania. Ingekuwa nimeshika...
7 Reactions
71 Replies
764 Views
Ngoja nimpe hifadhi tu jamani. Soma pia: https://www.jamiiforums.com/threads/njiwa-kaingia-nyumbani-na-wala-haoneshi-dalali-ya-machachari-na-wala-hataki-kuondoka.2318538/...
2 Reactions
15 Replies
651 Views
akazi wa maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam na Mkoa wa Pwani wanatarajiwa kukumbwa na ukosefu wa huduma ya maji kwa wastani wa saa 10 kesho Jumapili, Mei 10, 2026, kufuatia matengenezo kinga ya...
1 Reactions
1 Replies
148 Views
Na Mwandishi Wetu Njombe. CRDB Bank Plc imeendelea kuonesha dhamira yake ya kuunga mkono wafanyakazi na maendeleo ya taifa kwa kudhamini na kushiriki kikamilifu maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi...
1 Reactions
1 Replies
143 Views
Back
Top Bottom