Raia wa China Xu Fuyu mwenye umri wa miaka 39 na mfanyakazi wake wa mgahawa wa Kibonge uliopo Kariakoo Dar esSalaam, Blandina Mwalutola mwenye miaka 24 wamehukumiwa kulipa faini ya Sh milioni sita...
Wanajaribu kuleta watu wenye majina ila kusema kweli hakuna jipya zaidi ya kuendeleza stori isio na maana.
Kilichobaki ni kushangaa tu wadada wenye makebo makubwa tofauti na hapo hakuna jipya
Ni Kujinajisi kwa kujizini mwenyewe au KUJICHUA.
Ni unaangia maagano ya ndoa na mapepo ,lakini unapoteza baraka, zako zinaibiwa na mapepo ,nguvu ya maombi inafifia/inapungua,unavamiwa na maroho...
Tangu nimeflash simu huu mtando ndio pekee umegoma niki downglod pamoja na kutumia vpn lakini wapi
Yani kuna mda kama unataka kukubali naingiza user name na pasward nalog in inazunguka kiasi...
Yakobo 1:27
Dini iliyo safi na isiyo na hitilafu mbele ya Mungu Baba ni hii: Kuwasaidia yatima na wajane katika shida zao, na kujilinda mwenyewe usichafuliwe na ulimwengu huu.
Methali 19:17 BHN...
1)AMKA MAPEMA alfajiri saa 11 au 12 ,ukiamka mapema KABLA HUJATOKA nje, kitu cha kwanza cha kufanya ITAMKIE MANENO MAPYA SIKU MPYA unayoianza
Mungu BABA ninaikabidhi siku hii mpya ninayoianza...
Assume condition zifuatazo
Wewe ni Rais wa nchi yenye watu milioni 68 na ukubwa wa 946,000 km²
Umepewa nchi hiyo hapo, na hivi ndio vyanzo vikuu vya maji nchini kwako
(Nchi yako ni hiyo...
Umewahi kujiuliza kwanini kuna watu kila wakigusa jambo linafanikiwa, na kuna wengine kila wakijaribu wanagonga ukuta? Siri kubwa haipo kwenye bahati, bali ipo kwenye sumaku iliyojificha ndani ya...
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, utamaduni, sanaa na michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa,amewataka maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini kutangaza vivutio vipya vya utalii vilivyoko...
Wasakara,
Inawezekana kweli mwanamke kusimama mjini na kufanikiwa bila “kutegemea” misaada (wanaume)kwa namna moja au nyingine?
Unamaliza masomo, unatafuta kazi, unajituma kila upande, lakini...
Haiwezekani mtu avuke step za matambo kiasi hicho leo amepangishiwa na bwana magomeni baada ya miaka mitatu anawauzia viwalo toka dubai na ana range rover yenye jina lake.
Kitu nimegundua mdada...
Ila Dada yangu Waziri Gwajima kiukweli hata Wewe umeonekana Kufurahi kuona jinsi Mzee Malundo anavyopiga Miti kwani hata katika hii Interview yako pamoja na kulaumu na kumpiga mkwara Mzee Malundo...
Toka nakua namsikia huyu jamaa matangazo yake EATV, miaka ya karibuni kaingia kwenye madawa(Pharmacy) ila sijawahi jua inamilikiwa na nani? Ni mbongo ?
Jamaa kadumu kwenye game la nguo toka...
Idara ya Maji Mkoa wa Arusha wanatuma bili za maji hata kama hujatumia hayo maji, niko nje ya mkoa kikazi, mimi pamoja na familia yangu ndani ya miaka miwili lakini kila mwezi napokea bili ya maji...
Kuongea na mtoto aliye tumboni ni kitendo cha mzazi (hasa mama au baba) kuwasiliana na mtoto kabla hajazaliwa kwa kutumia sauti, nyimbo, kugusa tumbo na kumwambia kwa upendo kuwa wewe ni mama yake...
Mnyororo wa umaskini (Generational Poverty) siyo tu hali ya kukosa fedha bali ni mfumo wa kimaisha, kifikra, na kijamii unaorithishwa kutoka kizazi kimoja kwenda kingine. Katika familia na ukoo...
Hii ni Kigamboni, barabara inaunganisha eneo la Kona ya Chuo na Mwasonga, hilo daraja haliishi maji, yakijaa hapo Watoto hawaendi shule wiki ya tatu sasa.
Yaani ukitaka kwenda Cheka boda...
Mimi na mpenzi wangu tuliyeishi pamoja kwa zaidi ya miaka miwili tuliachana baada ya mwanamke huyo kuanza visa na akaenda nyumbani kwao. Badae akaibukia mahakamani akiomba talaka na mgawanyo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.