Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa mujibu wa tafiti zilizofanywa na moja ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii hapaTanzania na kurushwa na kituo cha television cha UTV, zilibaini hali ya kifedha na maisha baada ya kustaafu ilikua kama...
4 Reactions
68 Replies
921 Views
Mbunge wa Kigoma mjini akifanya mahojiano na Chief Odemba amesema “Bado kuna baadhi ya Sehemu hatujafanya Vizuri, Viongozi na wanachama wa CCM tukubali pale ambapo hatujafanya Vizuri ili tutibu...
3 Reactions
5 Replies
167 Views
Mheshimiwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (JMT) Dr. Mwigulu Nchemba. Kwa heshima na taadhima napenda kuchukua nafasi hii adhimu kukupa pole, katika kutekeleza majukumu yako ya...
1 Reactions
7 Replies
194 Views
Hali ya taharuki imeibuka katika eneo la Mbagala Zakhem Jijini Dar es salaam baada ya magari mawili aina ya Fuso kuteketezwa kwa moto huku milio ya risasi ikisikika kufuatia mgogoro unaodaiwa...
5 Reactions
8 Replies
404 Views
Watu watano wamefariki dunia na wengine 28 kujeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Shabiby aina ya Youtong likiendeshwa na Michael Mbugi likitokea Dodoma kwenda Mbeya na kupata ajali katika eneo la...
4 Reactions
27 Replies
753 Views
Benki ya CRDB imeongoza Kwa kupiga faida kubwa yaani super normal profit baada ya kuibia Watanzania Kwa riba kubwa na makato yasiyoeleweka...
3 Reactions
12 Replies
468 Views
Leo kwenye urejeo wa fikra zangu nikapata kukumbuka kipindi maridhawa kilichokuwa kikiruka hewani kupitia chaneli ya TBC ,THIS WEEK IN PERSPECTIVE kikiongozwa na mtangazaji mahiri enzi hizo bwana...
10 Reactions
36 Replies
562 Views
Anonymous
Wakazi wa Sinza Kumekucha, Sinza Makaburini, Sinza Kijiweni na Sinza Mawasiliano tunateseka kwa kelele za baa ya Amell iliyopo kwenye jengo la PSSSF Sam Nujoma. Ile baa siku ya Ijumaa na...
4 Reactions
48 Replies
771 Views
Wakuu, niko Singida hapa nimekula jana msosi sehemu inaitwa kwa Maclaree lkn sijavutiwa napo. So naomba mnijuze sehemu inayopika msosi mzuri hapa Singida.
2 Reactions
41 Replies
1K Views
Habari wana JF,naomba msaada kwa Wanaofahamu,mfano mwanamke na mwanamume wameanza kuishi pamoja kwa ndoa ya bomani,je kwa taratibu za kisabato wanaruhusiwa kwenda kubariki ile ndoa kanisani na...
1 Reactions
49 Replies
18K Views
  • Redirect
Watu watano wamefariki dunia na wengine 28 wamejeruhiwa baada ya basi la kampuni ya Shabiby kugongana na lori katika kijiji cha Tanangozi mkoani Iringa. Kati ya majeruhi hao, watu watano wapo...
1 Reactions
– Replies
– Views
Vitu vingine vinatia aibu, maana vinareflect IQ vya yule anaevifanya, je, ndio tuseme watunga sera wa TRA wana IQ ndogo? Kodi ya majengo kwa nyumba ya chini ni shs.10,000/= tu, lakini gharama ya...
51 Reactions
140 Replies
19K Views
Kama Mungu tayari ana mipango yake juu ya maisha yako na mipango yake iko sahihi kwa sababu Mungu muweza wa yote hajawahi kukosea, kwa nini sasa unasali? Kwa nini unafanya maombi? Unajaribu...
10 Reactions
33 Replies
388 Views
Mbunge wa Viti Maalum, Zainab Abdallah akichangia hoja kwenye Wizara ya Elimu ameshauri Wizara ya Elimu kushirikiana na Jeshi la Kujenga Taifa JKT kuwapeleka vijana wa kizazi cha Gen Z kwenye...
3 Reactions
12 Replies
200 Views
Ni mfano wa route za Dar kwenda mikoa ifuatayo, Mwanza, Kagera, Musoma, Kigoma, Mbeya, Ruvuma Kama huwa unatumia usafiri wa basi kwa mikoa tajwa badi ujue wewe bado unajitafuta, endelea...
27 Reactions
187 Replies
12K Views
Miaka ya nyuma, skyline ya Dar es Salaam ilikuwa simple sana, majengo machache marefu, mengi yakiwa ya kati tu. Lakini leo hii, mji umebadilika kwa kasi kubwa ajabu. Maeneo kama Posta, Upanga...
16 Reactions
189 Replies
3K Views
Mods tafadhali msihamishe au kuunga uzi hili ni jambo linalolenga jamii kwa ujumla Kwa masikitiko makubwa, nimewahi kuzika baadhi ya pets wangu kwa namna yangu mwenyewe. Kwa kweli nilitamani sana...
7 Reactions
113 Replies
1K Views
  • Redirect
Mahakama ya kijeshi nchini China imewahukumu kifo mawaziri wawili wa zamani wa ulinzi baada ya kupatikana na hatia ya rushwa na matumizi mabaya ya madaraka. Hukumu hiyo ilitangazwa Alhamisi...
0 Reactions
– Replies
– Views
Back
Top Bottom