Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Assalam waungwana, Kuna hii hali nimeiona katika mvua hizi kubwa zinazoleta mafuriko maji kuwa mengi njiani hasa kwa wale watembea kwa miguu/wahesabu hatua-mapedestrians kuwa njia panda lipi...
1 Reactions
5 Replies
932 Views
Vijana wenzangu Maisha ni Kupambana, pambana kijana Mpaka Siku Moja Ex wako aje akwambie: "hebu waambie Kama ulishawahi kudate na mimi Maana nawaambia Wala hawaniamini" Sasa wewe kaa unakula...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari ya weekend wanajukwaa Kipekee najitokeza mbele yetu kujuzwa vyama binafsi vya wafanyakazi nchini tanzania. Nawasilisha.
0 Reactions
1 Replies
846 Views
Wakuu poleni na majukumu, Nianze kwa kuipongeza serikali kwa kuweza kuipokea ndege kubwa kabisa duniani na kupelekea Kuipandisha hadhi nchi yetu. Baada ya Salamu hizo nije kwenye swali langu...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kumekuwa na uhakiki vyeti feki,watumishi hewa. Nashauri ufanyike uhakiki umri pia.Kuna wazee ving'ang'anizi katika utumishi wa umma hata Wabunge wapo,ukiwaangalia walipaswa kuwa wanalea...
0 Reactions
4 Replies
995 Views
Kikombe cha babu ndicho kilichomuokoa huyu mzeee asingekuwa babu Tiyari angekuwa ameishakuwa jiwe hahahhahahahahhaha
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habar wana jf me nina shida na laini za voda za chuo.... Zile ambazo unaweza kupata ile ofa ya cheka University offer kwa 1500 kwa wiki unapewa 1GB USKU na 1 GB MCHANA Maana juzi nimeenda kwa...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Katika pirika pirika za jana usiku mida kama ya saa nane hivi maeneo ya ubungo ikafika wakati wa kurudi kitaa tukaenda kupanda daladala sasa kwenye ile daladala ghafla akapanda mdada na kibegi na...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu umezuka mtindo mwingine wa Utapeli kwa sasa au unachukua kasi mpya ambapo wazazi wanapigiwa simu na watu waojifanya ni walimu wakidai mtoto amepata matatizo (anaumwa ) na yupo Hosptal...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Salam Sipo hapa leo kuharibu biashara za watu, ila nataka kutoa angalizo kwa wamiliki wa magari madogo hasa zile zenye kutumia mafuta ya petrol. Kuna huu mtindo umeingia sasa hivi au sijui upo...
4 Reactions
29 Replies
9K Views
Habari wakuu, Naomba msaada kwa anayefahamu kama kwa hapa Tanzania especially daressalaam kama kuna animal rescue org yeyote ambayo inapokea animals au pets mbalimbali ambao wako endangered kama...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kutokana na hali ya maisha kuendelea kuwa ya sintofaham kwa baadhi ya maeneo tofauti. Hatimaye kampuni ya simu za kiganjani Vodacom now wameamua kuwa wazi kwa kupandisha garama za vifurushi kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Dk. Charles Kimei ambaye amekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya CRDB Tanzania ni Mdhamini Mkuu wa Tuzo za Mh. Rais. Nini kazi za Mdhamini wa Tuzo za Mh. Rais?
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe amemteua Mhandisi Dkt. Richard Joseph kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya chuo cha michezo Malya. Uteuzi huo umetekelezwa kwa mujibu...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Kuna kitu kinaendelea lakini bado hakijawa wazi sana. Ngoja mshtuko wa habari za kifo utulie... Kuna mengi yatajitokeza. Wiki iliyopita kuna binti aliuawa gesti Chalinze... ALINYONGWA.... Lakini...
164 Reactions
622 Replies
124K Views
Tatizo kubwa la Jangwani ni pale mto wa Msimbzi unatakiwa kutokea daraja la Salenda. Daraja limekuwa dogo kadri miaka inavyokwenda. Maji ya mto yamezid kuongezeka mwaka hadi mwaka. Mdomo daraja...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Huu ni ubinafsi uliopitiliza, kama Nyerere angesema kama mnavyosema ninyi leo hii kwamba kama huwezi kulipia private shauri yako pigana na hali yako na nenda Shule za Kata, wengi wenu mngebakia...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari za mei mosi! Nilikuwa Helsinki Finland hivi karibuni. Kwa sasa naishi mji mwengine. Nilipokuwa kwenye stendi ya basi nilimuona jamaa flani kama mwarabu muhindi ama jamii ya huko...
4 Reactions
105 Replies
14K Views
Kama raia mwema toa ushauri ni jinsi gani ya kuondoa kero Kwa abiria watokao mjini kwenda Mbezi kulazimika kulipa nauli Mara mbili kwenye mabasi ya mwendokasi : make huenda inaonekana 650 mbezi...
0 Reactions
9 Replies
878 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…