Naomba msaada kwa hili....

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,047
21,519
Habari wakuu,
Naomba msaada kwa anayefahamu kama kwa hapa Tanzania especially daressalaam kama kuna animal rescue org yeyote ambayo inapokea animals au pets mbalimbali ambao wako endangered kama kittens,puppies, birds of all sorts etc. nakuwapa matunzo yanayostahili. Karibu na ofisi yetu kuna kapori fulani ambapo kuna mbwa amezaa vitoto kama 6 hivi ila kiukweli havina matunzo maana mamayao mwenyewe ni hadi akaokoteze mabaki ya vyakula kwenye ma jaa au dustbins ale ndio apate maziwa ya kuwanyonyesha watoto wake. Hivyo kama kuna mtu anafahamu naomba contacts niweze kuwasiliana na hao watu waje kuwachukua...
IMG_0184.JPG
IMG_0188.JPG
 
Bro tz bado hatujafika huko km watoto tu wanatelekezwa na hakuna anayejali itakuaje kwa mnyama
We msave tu huyo ata msosi
 
Kuna kipindi cha Viumbe Hai kipo Azam two kila Jumatano saa 12:30 kifatilie utapata mawasiliano au maelezo ya wahusika wanaosaidia wanyama wa mitaani. Au kama mtu ameshindwa kuwahudumia au wamezaliana nyumbani kwake unawasiliana nao.Unaweza kufollow @everylivingthingtz
 
Back
Top Bottom