Kutokana na hali ya maisha kuendelea kuwa ya sintofaham kwa baadhi ya maeneo tofauti.
Hatimaye kampuni ya simu za kiganjani Vodacom now wameamua kuwa wazi kwa kupandisha garama za vifurushi kwa...
Dk. Charles Kimei ambaye amekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya CRDB Tanzania ni Mdhamini Mkuu wa Tuzo za Mh. Rais.
Nini kazi za Mdhamini wa Tuzo za Mh. Rais?
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe amemteua Mhandisi Dkt. Richard Joseph kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya chuo cha michezo Malya.
Uteuzi huo umetekelezwa kwa mujibu...
Kuna kitu kinaendelea lakini bado hakijawa wazi sana. Ngoja mshtuko wa habari za kifo utulie... Kuna mengi yatajitokeza.
Wiki iliyopita kuna binti aliuawa gesti Chalinze... ALINYONGWA.... Lakini...
Tatizo kubwa la Jangwani ni pale mto wa Msimbzi unatakiwa kutokea daraja la Salenda. Daraja limekuwa dogo kadri miaka inavyokwenda. Maji ya mto yamezid kuongezeka mwaka hadi mwaka.
Mdomo daraja...
Huu ni ubinafsi uliopitiliza, kama Nyerere angesema kama mnavyosema ninyi leo hii kwamba kama huwezi kulipia private shauri yako pigana na hali yako na nenda Shule za Kata, wengi wenu mngebakia...
Habari za mei mosi!
Nilikuwa Helsinki Finland hivi karibuni. Kwa sasa naishi mji mwengine.
Nilipokuwa kwenye stendi ya basi nilimuona jamaa flani kama mwarabu muhindi ama jamii ya huko...
Kama raia mwema toa ushauri ni jinsi gani ya kuondoa kero Kwa abiria watokao mjini kwenda Mbezi kulazimika kulipa nauli Mara mbili kwenye mabasi ya mwendokasi : make huenda inaonekana 650 mbezi...
Hawa viumbe wakiwa kwenye mchakato Wa kutafta ajira wanahuzunisha sana, lakini wakisha fanikiwa ndio hawahawa hubadilika na kutojali weledi Wa kazi zao.
Kiufupi zamani nilikuwa najali sana kijana...
Nun raped me and had my baby - The torment of a schoolboy victim | UK | News
Paul Jeeves
Edward Hayes wanted to lift the lid on sex abuse by nuns
He wanted to speak out over the Easter weekend to...
jarida la sani
1.madenge
2.kifumbo cheza
3.madenge
4.pimbi
5.sokomoko
6.ndumilakuwili
7.zena na betina(ongezea na wewe)
jarida la bongo
1.kiokote
2.bob mikwara
3.chepe
4.jua kali
5.mapung'o...
Habarini ndugu zangu, mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu, nimekwama ada kias cha laki mbili, nipo dar, naomba kwa yeyote anikopeshe kwa dhamana ya cheti changu cha Form 6.Nitamrudishia muda...
Mvua zinazoendelea kunyesha zimeharibu miundombinu ya barabara ya Kangaye-Mecco wilayani Nyamagana pamoja na kukata mawasiliano ya Daraja kati ya Buhongwa Jijini Mwanza na Kijiji cha Mwasonge...
Kwa sasa nipo mjini tabora ambapo kabila kubwa la hapa ni mnyamwezi ila ndani ya mnyamwezi kuna watu wanaoitwa watusi .
Lakini pia inasemekana asili ya mnyamwezi ametokea ndani ya mtusi yaani...
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza, linamshikilia mfanyabiashara wa samaki mkazi wa mtaa wa Mahakama wilayani Ilemela, Nicholas Light (25) kwa kosa la kumuua mpenzi wake, Victoria Swai (26) kwa...
WANANCHI 15 wakazi wa Kijiji cha Gebailumbwa wilayani Longido, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya hiyo wakikabiliwa na makosa matatu likiwemo la kutokuwa na vyoo na kusababisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.