Kuvua na kuvaa kiatu na mvua hizi

Kuvua na kuvaa kiatu na mvua hizi

GAS STATE

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
1,769
Reaction score
960
Assalam waungwana,

Kuna hii hali nimeiona katika mvua hizi kubwa zinazoleta mafuriko maji kuwa mengi njiani hasa kwa wale watembea kwa miguu/wahesabu hatua-mapedestrians kuwa njia panda lipi wafanye kati ya haya mawili yaliyofanywa na watu wawili tofauti:
1.Huyu huamua kuendelea na safari yake hadi mwisho wake bila kurekebisha chochote havua nguo wala viatu safari na muziki inaendelea.

2.Huyu huamua kuvua viatu vyake vya kutokea kitaa ili visiloe na hatimaye kuchakaa. Huyu anatake risk ya kutembea pekupeku kwa kusave viatu vyake vizuri, kilichonishangaza zaidi ni pale alipokuwa anatembea with confidence nikajiuliza maswali machache tu kama ifuatavyo:-

-Anaona kule chini anapokanyaga nikajiridhisha kuwa haiwezekani kwa maji yale ya magoti.
-Inakuwaje anathamini viatu kuliko miguu yake
-Anajuwa kuwa kuna uwezekano wa kuwa na vitu hatari chini kama vile chupa, misumari ie tetenas.
-Ikitokea kaumizwa na kitu let say chupa je anajuwa gharama ya kujitibu ni kubwa kuliko ya kununua viatu vipya.
-Je anafanya kwa kupenda au anaogopa kichapo kwa wale wanaoishi kwa shikamoo.

Members nisaidieni unamfundisha mwanao afanye lipi kati ya haya mawili.
 
dunia,pesa ,majumba zote kelele...Mungu pekee
 
Asipite kwenye maji hata na viatu au peku.
 
.
Anaevua akapita na anae vaa akapita mimi naona hakuna tofauti
 
Tofauti ipo tena kibwa, mtoa mada amefafanua vizuri sana, mimi namshauri mwanangu na wanafunzi wenye tabia ya kivua viatu wasifanye hivyo maana viatu SIO UREMBO
 
Mtoa mada kaelezea madhara ambayo kayafikiria yeye na, mimi nimefikiria madhara anayoweza kuyapata huyo mtu endapo atapita kwenye maji na yakawa sio salama kwa afya yake pia anaweza kupata magonjwa vile vile na viatu alikuanavyo....
 
Back
Top Bottom