Kijana Usiache kupita hapa

Lupamba's grandson

JF-Expert Member
Jan 9, 2015
1,232
1,192
Vijana wenzangu Maisha ni Kupambana, pambana kijana Mpaka Siku Moja Ex wako aje akwambie:
"hebu waambie Kama ulishawahi kudate na mimi Maana nawaambia Wala hawaniamini"

Sasa wewe kaa unakula kulala utajua nn maana ya maisha ukisha zeeka.
 
hapo kwa ex wako kuna mengi yatasemwa, wengine siku ukitoboa utawasikia "nyooo anajifanya ana viela saiv wakat kitandani alikuwa mchovu tu nyooo, na isitoshe ana kibamia"
nyie wanawake nyie, Mungu anawaona mjue
 
Hahahahah yalikukuta nn mkuuu
 
hapo kwa ex wako kuna mengi yatasemwa, wengine siku ukitoboa utawasikia "nyooo anajifanya ana viela saiv wakat kitandani alikuwa mchovu tu nyooo, na isitoshe ana kibamia"
nyie wanawake nyie, Mungu anawaona mjue

Mkuu ki100 utakuwa nacho kweli
tapatalk_1521266737314.jpg
 
Usipende kushindana na mtu ambaye hayupo kwenye maisha yako
maumivu na majuto yamepangwa kuwepo kwaajili yakusudio la kumkubusha victim aweze kuitambua value yake "" ili apate kujisahihisha na kuzipigania ndoto zake " zilizokufa ama alizokuwa anaziota" "
may take lengo sio kushindana nae ila kuyatumia maumivu aliyokuachia kama chachu yakuweza kufanikisha malengo yko

nili Ku miss karibu mkuu ""
 
kila MTU anapambana apate maisha bora, lkn baadhi ya vijana waliofanikiwa ukiwauliza nini siri ya mafanikio hawakuambii zaidi ya kutaja mafanikio yke ,lkn bado hatukati tamaa tunapambana mkuu had dakika ya mwisho.sala na kazi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom