TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 15,266
- 25,555
Kutokana na hali ya maisha kuendelea kuwa ya sintofaham kwa baadhi ya maeneo tofauti.
Hatimaye kampuni ya simu za kiganjani Vodacom now wameamua kuwa wazi kwa kupandisha garama za vifurushi kwa kasi ya 5G.
Kazi kwa walaji na safari ndiyo kwaaanza hata dawa hatujachimba.
Taarifa kamili hii hapa kwenye picha...