Habari wana JF,
Katika pita pita zangu kwenye vyombo vya habari nimepata taarifa kwamba serikali imekwishaanza na inaendelea kukarabati shule zake kongwe. Hizi shule kongwe ikiwa pamoja na...
Habari zenu wakuu,
Nimeamini dawa ya kuepuka stress na mawazo ni kutoa yale yaliyo moyoni.
Kusema kweli hawa wazee wanaofanya kazi ya kuuza duka la mikate ya Azam hapa kituo cha Manzese maarufu...
Habari wadau wa jf na wote mnaopita humu kupata habari; kama heading ilivyo hapo juu ninaushahidi ambao nitauambanisha hapa kudhihilisha kwamba kampuni ya vodacom tanzania inawaibia muda wa hewani...
Wakuu
Habarini za wakati huu kama kichwa kinavyojieleza ninaomba msaada kwa anaefahamu namna ya kuandaa mapendekezo ya miradi na jinsi ya kutafuta wahisani wa miradi hiyo ninaomba kupewa elimu...
Bila shaka,haya ni majina yaliyozoeleka karibu kwenye kila Forum ndani ya JF. Kwa kanuni za sheria za mawasiliano kwenye blogs na mitandao kama JF,ili uweze kuandika thread au comment,shurti...
Mara nyingi nimekuwa nikifatilia juu ya bidhaa kutoka nje lakini pia na ubora wake pamoja na bei zake kulinganisha na bidhaa za ndani
Sambamba na hilo pia nimefatilia namna serikali inavyotetea...
Mtakumbuka wazo la uchunguzi wa tezi dume nyumba kwa nyumba Dar lilivyotolewa.Tumeona kwenye chanjo ya kuzuia saratani ya mlango wa kizazi wakiitwa wanasiasa kufanya demo.
Ninaomba sana wanasiasa...
Watu wengi waliokwenda kujiandikisha Kitambulisho cha uraia huku Moshi Vijijini Kata Ya Kibosho Kati wamerudi baada ya kuambiwa kama hawana vyeti vya kuzaliwa walipe shs 5,000/= hakimu ili waape!
Mwili wa profesa nguli wa sheria za ubia Luitfred Mbunda aliyefariki juzi mkoani Dodoma umeagwa jana mkoani Dodoma katika ukumbi wa Chimwaga (udom).
Leo utawasili Dar es salaam kwa ajili ya...
Mimi sio mtaalam sana kwenye mambo ya mawasiliano.
Naomba kufahamishwa, je mitandao ya simu hurekodi kila simu ya mteja wao na mawasiliano mengine?
Na kama inarekodi, inayahifadhi kwa muda...
America kuna kitongoji kinaitwa Thomasville , katika mji wa Georgia .Mji huu una nyoka wengi sana , mpaka wakapaita " The centre of america snake belt " , yaani nyoka wapo kila mahali .
Kwa...
Watanzania tujifunze kulipa kodi.Maendeleo yatakuja zaidi kama tutakua na adabu.kuendela kujenga highways naiomba serekali itozeshe kodi ili ipate pesa za kuendelea kufanya kazi nyingine.hakuna...
“MIMI NI KIONGOZI WA WANYONGE”
Hivi tunaposema mtu mnyonge tunamaanisha mtu wa kipato gani labda? Hivi kuna poverty line Tanzania, na ni shilingi ngapi kwa mwezi?
Au tukisema ni ambae hana...
SHETANI ni kiumbe ambaye alikuwa Malaika na akiishi Mbinguni siku zile kabla hajaFanya uasi. Mwenyezi Mungu alimpenda na kumpatia nguvu na uwezo mwingi na kumfanya Malaika Pendwa huko mbinguni...
Naomba kuuliza kuhusu hii habari ya chanjo kuhusu Saratani ya kizazi.Hivi Africa ndio sehemu ya majaribio au Ulaya ilisha fanyika?
Kama ilifanyika je matokeo yalikuwa je? Mbona sikuwahi kusikia...
BARA la Afrika ndilo linalosifisika kuwa na wanyama wengi wakubwa kwa wadogo kuliko lingine lolote lile duniani kwa sasa.
Lakini miaka 13,000 iliyopita Bara la Amerika ya Kaskazini lilikuwa na...
Habari wana jamvi,
Niende moja kwa moja kwenye mada.Azam TV wamekuwa wanarusha movie walizo tafsiri kwa kiswahili lakini hawa jamaa wanatuonesha vimuvi vya hovyo sana mfano jana tar28/04/2018...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.