Utapeli Mashuleni

Utapeli Mashuleni

getrusa

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
2,150
Reaction score
1,824
Wakuu umezuka mtindo mwingine wa Utapeli kwa sasa au unachukua kasi mpya ambapo wazazi wanapigiwa simu na watu waojifanya ni walimu wakidai mtoto amepata matatizo (anaumwa ) na yupo Hosptal.
Hivyo wanahitaji itumwe pesa kwa ajili ya matibabu. Na kwa vyovyote wanataja hosptali au kituo cha afya ambacho mhusika hawezi kuwa na uwezo wa kufika hapo kwa wakati huo. hasa baada ya kuwaeleza mahali ulipo.

Watu kadhaa wameshapigwa hela na matapeli hawa nu vema tukawa makini.
 
[BLUE]Mjinga ndio waliwao[/BLUE]
 
Ukitapeliwa kwa style hi basi wewe ni bumunda plus plus

Kwanza kama mtoto anasoma mbali lazima tu utakua na namba ya simu ya mwalimu at least mmoja

Huombi hata kuongea na mtoto ,hebu mpe niongee nae

Hivi mnaanzaje kwanza kutuma pesa kwa mtu humjui aisee
 
Mi siwezi tapeliwa kijinga hivo
Shule nakumbuka niliqahi vunjika mguu ila sikudauwa
 
Nimetoa tahadhari inaweza isiwe wewe sabbu uko smart lakini mtu wako wa karibu akapigwa na mkachangia maumivu ya hasara
 
Back
Top Bottom