TAARIFA KWA UMMA
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kigoma linafanya uchunguzi wa tukio la fujo zilizopelekea majeruhi ya watu watatu, ni kwamba Mei 5, 2026 muda wa saa 12.00 mchana huko katika Kijiji cha...
Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde (wa pili kutoka kushoto), ambaye alikuwa Mgeni Rasmi, akikata utepe wakati wa hafla ya ufunguzi rasmi wa tawi la Exim Bank Tanzania katika Mkoa wa Geita...
Wanabodi,
Leo ni Siku ya Wanawake Duniani, katika safari ya kuelekea usawa wa kijinsia, kuna wanawake wengi wenye uwezo, lakini wamenyimwa fursa za kushika nafasi za juu katika taasisi...
Katika hizi nyakati ambazo JF inapotelewa na vitu konki mwamba ndio amebaki wa mwisho mwisho.
Wapo pia wana JF mahili humu ila kijana 77 ni kinara.
Kongole kwake.
Mimi nina tatizo kwenye Board ya Ununuzi wa umma Tanzania PSPTB kwenye Mfumo wa kujisajili na hii Board Ina category mbalimbali
Ukiwa unajisajili ukikosea kuchagua category Yako husika kwa mfano...
Wakuu umofia kwenu,
Kwanza kabisa nampongeza Yeriko Nyerere kwa kujaribu kwake kusukuma gurudumu ili la uhandishi wa riwaya pendwa ya Kijasusi safi sana mkuu.
Kwa sasa vichwa ivi ni vichache mno...
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Saadi Mtambule, Aprili 09, 2026 ameungana na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni pamoja na maafisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali katika hafla maalum...
Leo, Jumamosi ya tarehe 09 Mei 2026, Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Dar es Salaam imefanikiwa kufanya Maadhimisho ya Kilele cha Wiki ya Jumuiya ya Wazazi Mkoa katika Ukumbi wa VETA Kigamboni...
Hadi sasa ni mwaka mmoja umepita tangu Tundu Lissu, ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema, alipokamatwa na kushtakiwa kwa kosa la uhaini. Hata hivyo, pamoja na kuwepo kwake gerezani, mjadala...
Sir David Attenborough, ambaye anasherehekea siku yake ya kuzaliwa ya 100 leo, amesafiri karibu kila kona ya Dunia kama sehemu ya azma yake ya kuwaelimisha wengine kuhusu ulimwengu wa asili...
Waendesha baiskeli maarufu kwa jina la daladala katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Simiyu wameongeza nauli kutoka Sh500 hadi Sh1,000 kwa safari za ndani, wakidai hatua hiyo imetokana na kupanda...
Binafsi naona BSS inaua vipaji vingi sana kuliko inavyoviibua. Kupitia huyu Salama kuna vipaji vingi vimezimwa kwa kauli za kikatili zinazokatisha tamaa.
Naona tuikatae Bongo Star Search. Soma...
Gal 5:19-21
Basi matendo ya mwili ni dhahiri, ndiyo haya,
1)uasherati
2)uchafu,
3)ufisadi,
4)ibada ya sanamu,
5)uchawi,
6)uadui,
7)ugomvi,
8)wivu,
9) hasira,
10)fitina,
11)faraka...
Kwasababu Chatgpt ndio chatbot kubwa zaidi kwa sasa na kuna maswali imezuiwa kujibu, ili kui challenge uwezo wa chatbot kubwa kwa sasa aliiuliza hivi:
Imagine kuna nchi ambayo wanakataza kabisa...