Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Video: Lizee la hovyo la jamii ya Kisomali Kenya umri wa miaka 46 limekamatwa Kenya kwa kuoa katoto, kuhojiwa linasema dini ya kiislamu inaruhusu hata kuoa katoto ka umri wa miaka tisa. Majirani...
1 Reactions
20 Replies
510 Views
Anonymous
Sisi wakazi wa kata ya Kimala Wilaya ya Kilolo Mkoa wa Iringa tumekuwa na kero ya Barabara ya kuingia kwenye kata yetu. kata hii ina vijiji 4 ambavyo havina Barabara za uhakika za kupita mwaka...
2 Reactions
3 Replies
233 Views
Mt 13:54-55 SUV [54] Na alipofika nchi yake, akawafundisha katika sinagogi lao, hata wakashangaa, wakasema, Huyu amepata wapi hekima hii na miujiza hii? [55] Huyu si mwana wa seremala? Mamaye si...
3 Reactions
8 Replies
260 Views
Wadada wamekuwa wachungu, hata ncha ndogo ya huruma yao sasa hivi sio ya bure bure. Vidume nao wamebaki kuwa walalamikaji maana matamanio hayafikiki Hali inavyozidi kuwa ngumu huku raha za dunia...
4 Reactions
9 Replies
228 Views
MABINTI WAAMBIWE UKWELI SERIKALI HAITAKUWA NA MUDA WA KUSHUGHULIKIA UJINGA NA UZEMBE WAO WATAKAPOZALISHWA NA WANAUME WAPENDA UZINZI. HASA MABINTI MASKINI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Baba...
5 Reactions
25 Replies
424 Views
Watangazaji ITV malumbano ya hoja haswa Jacqueline anageuka msemaji wa serikali. Hii siyo sawa. Kwanini msiwaite waje waongee kwa facts.
3 Reactions
4 Replies
222 Views
Kama Kuna mtu Nisha mkosea, naomba nisamehewe, mana Kuna uwezekano nikawaangukia any time nipate pakujishikisha, wakuu samahan kama Nisha wahi kumkosea mtu humu, tusamehane sisi ni ndugu. Watu...
7 Reactions
38 Replies
547 Views
Unaweza kutana na simu fulani toleo moja ila likawa na mgawanyo kua hii ni spacial for USA, UK, Korea nk na ukakuta simu hiyo hiyo au toleo hilo hilo ukaambia hiyo ni global na siku hizi siyo simu...
1 Reactions
5 Replies
153 Views
Wakuu natakiwa siku ya kesho niwe Dar ila nauli ya kufika Dar Sina nina 40k tu, naombeni kama Kuna dereva anapita hii njia ya Bariadi - dar anipe rift nifike dar wakuu. Naombeni sana madereva 🙏...
5 Reactions
45 Replies
1K Views
Tumekuwa na mijadala mingi kuhusu existance of supernatural power duniani, lakini ukiangalia deeply you find that yanayoelezewa ni illogical things. Believers Wana shift claim kwa kuuliza Atheists...
2 Reactions
36 Replies
312 Views
Ikiwa mradi wa refinery ya mafuta ya Aliko Dangote (au mradi wowote wa ukubwa huo) ungejengwa Tanga, Tanzania ingenufaika kwa kiwango kikubwa sana kiuchumi, kijamii na kimkakati. Tanga ina sifa ya...
2 Reactions
11 Replies
482 Views
Mimi ni mkazi wa Wilaya ya Ikungi mkoani Singida, kero yangu ni kuhusu watu wanaojiita Maafisa kutoka Halmashauri ya Wilaya, wanakuja Vijijini kudai leseni na wakikuta hauna bila kujali unauza...
0 Reactions
9 Replies
270 Views
Ted cruz akituchongea kua kuna machafuko yakidini Tanzania Oyaaa Tanzania ipo hatarini. Wenye ulimwengu washaanzisha script kua Tanzania kuna machafuko ya kidini na Wakristo wanaonewa. Mzalendo...
7 Reactions
37 Replies
774 Views
Watoto wa kiafrica ni kama vichaa utakuta wamefanya destructions za kutisha.
11 Reactions
42 Replies
645 Views
Imeelezwa kuwa Mikutano ya Mabaraza ya Wafanyakazi ni majukwaa muhimu ya kuwashirikisha watumishi moja kwa moja katika mipango ya Serikali ili kupata mawazo mapya na...
0 Reactions
0 Replies
93 Views
UVINZA, KIGOMA: Mkuu wa Wilaya ya Uvinza, Dinah Mathamani ametoa ufafanuzi kuhusiana na tukio la vurugu lililotokea Mei 5, 2026 katika Kijiji cha Kalilani, ambapo vijana watatu walijeruhiwa kwa...
1 Reactions
5 Replies
264 Views
Bei haionyeshi ubora tena, feki na original vinauzwa sawa sokoni Zamani ilikuwa rahisi kutambua biashara ya bidhaa feki. Wafanyabiashara walikuwa wanauza vitu hivyo kwa bei ya chini kabisa, na...
3 Reactions
4 Replies
179 Views
Ila huyu mwenyekiti kiboko! Yani hata mshipa wa aibu hana ======= Mkazi wa Matiju B, Rashidi Bakari, ameeleza masikitiko yake baada ya kurejea kutoka kupanda Mlima Kilimanjaro na kukuta mke wake...
1 Reactions
4 Replies
186 Views
Kuna jamaa yangu kanipa mkasa wake kilichomkuta Nssf alipoenda kufuatilia mafao yake. Nimeona niilete humu; Jamaa anasema miezi kadhaa huko nyuma alienda Nssf kwenda kufuatilia madai yake...
4 Reactions
13 Replies
510 Views
Back
Top Bottom