Nahisi ni imani nyingi, kuna wanaamini ulimwengu una cycle ambazo huwa zinatokea hivyo kila cycle inapoisha ndio kama mwisho wa dunia na hilo tukio linakuwa la kuangamiza, kuna theory za sayansi zinasema kuna mwisho wa spacetime theory kama the big crunch ambayo ni event itayoangamiza ulimwengu, pia ni kama mwisho wa dunia. Hivyo sio monotheistic wanaoamini hivyo tuHivi siku za mwisho zipo na zinakuaje?
Hizi siku za mwisho ni za dini za Abrahamic (Ukristo, Uislamu na Uyahudi) tu au imani zote za Dunia?
Siku ya mwisho ya mtu ni binafsi pale atakapo kufa, inakua imeisha hiyo,huko kwingineko ni vipera vya hadithi tu
Zangu zimeisha.
Sure lo