Siku ya Wanawake Duniani: Tuwakumbuke Top Ten Wanawake Wakurugenzi Wakuu Wa Taasisi Kubwa

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,467
113,567
Wanabodi,

Leo ni Siku ya Wanawake Duniani, katika safari ya kuelekea usawa wa kijinsia, kuna wanawake wengi wenye uwezo, lakini wamenyimwa fursa za kushika nafasi za juu katika taasisi mbalimbali kutokana na nyingi ya nafasi hizo, kuhodhiwa na mfumo dume, hivyo kushikwa na wanaume!.

Swali ni jee, nafasi hizo zimeshikwa na wanaume kwa sababu hatuna wanawake wenye sifa, au zimeenelea kushikwa na wanaume kwa sababu ya mfumo dume tuu, nikimaanisha wanawake wenye sifa wapo, lakini hawajateuliwa kushika nafasi hizo.

Sasa hapa naomba tuwataje the Top Ten "Boss Ladies" wa ukweli, ambao ni wanawake kwenye nafasi za Wakurugenzi Wakuu wa Tasisi za Umma ambao teuzi zao zimefanywa na Rais.

  1. Jacline Mnenei Maleko-Mkurugenzi Mkuu wa TanTrade
  2. Irene Isaka-Mkurugenzi Mkuu wa SSRA
  3. Dr Marina Njelekela-Mkurugenzi Mkuu, Muhimbili
  4. Dr. Mwele Malechela-Mkurugenzi Mkuu wa Nimri
  5. Dr Akwilina Kayumba - CEO wa OSHA.
  6. Dr. Agnes Kijazi- Mkurugenzi Mkuu, Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA)
  7. Dr. Albina Chuwa-Mkurugenzi Mkuu-Takwimu.
  8. Eng.Marcelin Magessa- CEO- TEMESA
  9. Juliet Kairuki-Mkurugenzi Mkuu-TIC
  10. Magret Chacha, Mkurugenzi wa Benki ya Wanawake, TWB.
    endelea kuwataja wanawake ambao ni wakurugenzi wakuu wa taasisi kubwa kubwa!.

Hongera sana kwa wanawake hawa!.
 
Wanabodi,

Leo ni Siku ya Wanawake Duniani, katika safari ya kuelekea usawa wa kijinsia, kuna wanawake wengi wenye uwezo, lakini wamenyimwa fursa za kushika nafasi za juu katika taasisi mbalimbali kutokana na nyingi ya nafasi hizo, kuhodhiwa na mfumo dume, hivyo kushikwa na wanaume!.

Swali ni jee, nafasi hizo zimeshikwa na wanaume kwa sababu hatuna wanawake wenye sifa, au zimeenelea kushikwa na wanaume kwa sababu ya mfumo dume tuu, nikimaanisha wanawake wenye sifa wapo, lakini hawajateuliwa kushika nafasi hizo.

Sasa hapa naomba tuwataje the Top Ten ya wanawake kwenye nafasi za Wakurugenzi Wakuu wa Tasisi mbalimbali.

  1. Jacline Mnenei Maleko-Mkurugenzi Mkuu wa TanTrade- amemeuliwa na rais.
  2. Dr. Mwele Malechela-Mkurugenzi Mkuu wa Nimri-Ameteuliwa na rais!.
  3. Bi Sabeta Mwambeja-Mkurugenzi Mkuu wa Benki fulani
  4. Getrude Rwakatare-Mkurugenzi wa St. Marys International Schools.
  5. .... endelea kuwataja wanawake ambao ni wakurugenzi wakuu wa taasisi kubwa kubwa!.

Hongera sana kwa wanawake hawa!.

Dr Marina Njelekela wa Muhimbili

Engeneer Stela Manyanya Mkuu wa mkoa

Halima Mdee wa Bawacha

Badra Masoud wa Tanesco

Madam Rita
 
Dr Marina Njelekela wa Muhimbili

Engeneer Stela Manyanya Mkuu wa mkoa

Halima Mdee wa Bawacha
Mkuu Mwanga Lutila, asante kwa hii ya Dr. Marina Njelekela, wakuu wa mikoa, sio executive positions ni supervisory positions tuu!. Wenyeviti wa jumuiya za vyama sio top executive positions, hizo ni political positions, hapa nazungumzia executive positions, za Wakurugenzi Wakuu na ma CEO's.

Pasco
 
Celina Kombani

Mary Nagu

Halima Mdee

Anna Abdalah

Spora Liana

Anna Nswila

Dr Marina Njelekela

Dr Mwele Malecela

lady Jay dee
 
WOMAN

● changes her name

● changes her home

● leaves her family

● moves in with you

● builds a home with you

● gets pregnant for you

● pregnancy changes her body

● she gets fat

● almost gives up in the labour room due to the unbearable pain of child birth

● even the kids she delivers bear your name

Till the day she dies... everything she does... cooking, cleaning your house, taking care of your parents, bringing up your children, earning, advising you, ensuring you can be relaxed, maintaining all family relations, everything that benefit you..... sometimes at the cost of her own health, hobbies and beauty.

So who is really doing whom a favour?

Dear men, appreciate the women in your lives always, because it is not easy to be a woman.

*Being a woman is priceless*

Happy women's week!

Pass this to every woman in your contact to make her feel proud of herself.

Rock the world ladies!

A salute to ladies!

WOMAN MEANS :-

W ➖ WONDERFUL MOTHER
O ➖ OUTSTANDING FRIEND
M ➖ MARVELLOUS DAUGHTER
A ➖ ADORABLE SISTER
N ➖ NICEST GIFT TO MEN FROM GOD
miss chagga Little Angel everlenk na wengine. Mungu awabariki sana
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mwanga Lutila, asante kwa hii ya Dr. Marina Njelekela, wakuu wa mikoa, sio executive positions ni supervisory positions tuu!. Wenyeviti wa jumuiya za vyama sio top executive positions, hizo ni political positions, hapa nazungumzia executive positions, za Wakurugenzi Wakuu na ma CEO's.

Pasco

Kwa nini ujikite kwa CEOs ?
 
Lucky Dube: God bless the Woman
Shaggy; Strength of a Woman

Boyz to Men: Mama I love

Nyimbo hizo ziwaendeeee wadada na wamama wote popote pale walipo. Kwa nyanja zote
 
WOMAN

● changes her name

● changes her home

● leaves her family

● moves in with you

● builds a home with you

● gets pregnant for you

● pregnancy changes her body

● she gets fat

● almost gives up in the labour room due to the unbearable pain of child birth

● even the kids she delivers bear your name

Till the day she dies... everything she does... cooking, cleaning your house, taking care of your parents, bringing up your children, earning, advising you, ensuring you can be relaxed, maintaining all family relations, everything that benefit you..... sometimes at the cost of her own health, hobbies and beauty.

So who is really doing whom a favour?

Dear men, appreciate the women in your lives always, because it is not easy to be a woman.

*Being a woman is priceless*

Happy women's week!

Pass this to every woman in your contact to make her feel proud of herself.

Rock the world ladies!

A salute to ladies!

WOMAN MEANS :-

W ➖ WONDERFUL MOTHER
O ➖ OUTSTANDING FRIEND
M ➖ MARVELLOUS DAUGHTER
A ➖ ADORABLE SISTER
N ➖ NICEST GIFT TO MEN FROM GOD
miss chagga Little Angel everlenk na wengine. Mungu awabariki sana

Umetisha!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom