A books about Dictatorship

A books about Dictatorship

Chiwaso

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2009
Posts
5,722
Reaction score
3,796
Habari wana JF.

kama una muda tafadhari soma vitabu hivi, ili vikuepushe usije kuwa DICTATOR either hapo home kwako au Kazini.

Utakutana na elements kama Uzalendo, nafsi ya nguvu ya kijeshi, divide and rule, nafasi ya kujilimbikizia fedha na mengineyo.

Soma ili ujitambue
 
Attachments

Asante sana kwa haya madini mkuu. hata hivyo nasikitika kwamba watz hatuna culture ya kusoma maana ningetegemea kila mtu angekuwa amepita hapa
once again tanks
 
Nimepitia, nilichokiona nahisi ndiko tunakoelekea. Ukuta, 1.5, use of excessive force, nationalisim etc. Towards mkuu.
 
[HASHTAG]#Mods[/HASHTAG]. Pliz take note.

Hope mods watasaidia kerekebisha hiyo error
Asante mkuu mwalimu wangu wa primary alinifundisha kutumia lugha ya staha maana kuna siku alikosea neno kuliandika ubaoni nikamwambia mwalimu umekosea akasema yeye ni mwalimu hajakosea ila chaki ndiyo imekosea hivyo kwakua ulitumia kidole kutype ndicho kilichokosea. Ni uungwana huko nyuma sikumuelewa mwalimu yule
 
Habari wana JF.

kama una muda tafadhari soma vitabu hivi, ili vikuepushe usije kuwa DICTATOR either hapo home kwako au Kazini.

Utakutana na elements kama Uzalendo, nafsi ya nguvu ya kijeshi, divide and rule, nafasi ya kujilimbikizia fedha na mengineyo.

Soma ili ujitambue
A books belongs to dictatorship, this heading is grammatically poor.Please edit your post immediately.
 
Asante mkuu mwalimu wangu wa primary alinifundisha kutumia lugha ya staha maana kuna siku alikosea neno kuliandika ubaoni nikamwambia mwalimu umekosea akasema yeye ni mwalimu hajakosea ila chaki ndiyo imekosea hivyo kwakua ulitumia kidole kutype ndicho kilichokosea. Ni uungwana huko nyuma sikumuelewa mwalimu yule
Noted mkuu. Hope you have j2 njema
 
A books belongs to dictatorship, this heading is grammatically poor.Please edit your post immediately.
Kimekuja na Meli Mkuu, Kikubwa hapo pata maudhui.
 
Back
Top Bottom