Kwa sheria zetu za bongo ikoje?

Kwa sheria zetu za bongo ikoje?

scientificall

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2015
Posts
460
Reaction score
360
Hivi ni kweli kwa sheria zetu za hapa Tanzania mtuhumiwa ikitokea akukutwa na kosa baada ya hukumu ya mahakama ya mwanzo na akiamua kukata rufaa je atatakiwa kusikiliza kesi yake akiwa gereza kutumikia kifungo au anaweza kuwa nje kwa dhamana?

Kwa wajuzi nsaidieni
 
atasikilizwa rufaa yake akiwa kifungoni maana mpk hapo bd n mtuhumiwa. Hv n mimi peke yang au? Naona kama kuna tatzo la network kuanzia majuz maeneo meng ya nchi.
 
Back
Top Bottom