Leseni ya biashara tu nongwa?,je walioajiriwa serikalini na sekta binafsi?

Kaka Pekee

JF-Expert Member
Apr 3, 2018
336
559
Kama Mzazi kuwa na Leseni ya Biashara kunamfanya Mwanafunzi mwenye haki ya kupata kukosa haki hiyo...basi na wakose hadi wale ambao Wazazi wao wame ajiriwa na serikali na sekta binafsi ambao wana uhakika wa kukinga mwisho wa mwezi.
Maana hakuna masikini yoyote alie ajiriwa.

Suala la Leseni ya biashara, tuzingatie kuwa hizi biashara ndogo na za kati kuna wakati hufa + Biashara yenyewe ilivyo kichaa hususani msimu huu wa vyuma kukaza... tukumbuke pia Matajiri ndio wachangiaji wakubwa wa kodi zinazofanya watoto wa masikini wapate mkopo wa elimu...maana masikini sio mfanya biashara wala hana ajira yoyote toka serikalini wala sekta binafsi. Ushauri ni kuangilia tena swala hili kuhusu elimu...la sivyo MMEBUGI.

[HASHTAG]#Tafakari[/HASHTAG]
 
Lakini huu ni kama upuuzi au ufinyu wa kufikiri...au ndio hazina iko tupu wanatafuta kisingizio cha kupinga panga bajeti ya mikopo.
 
Back
Top Bottom