Airtel sitaki mniunge na BBC

Airtel sitaki mniunge na BBC

MT255

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2012
Posts
3,728
Reaction score
5,000
Wana jamvi,

Mnajua kuna mambo yana kera sana mtandao wa Airtel. Kila siku wananiunga eti nimeunganishwa na huduma za BBC kupitia SMS wakati sijawahi kuomba hiyo huduma.

Kwanini mnaingilia uhuru wangu wa kuchagua kitu!? Nimepiga simu huduma kwa wateja lakini mnashindwa kusitisha hii huduma.

Najua mpo humu.

Narudia "SITAKI HUDUMA YA BBC KWA SMS"

Screenshot_20180513-134154.jpg
 
View attachment 776159
Ndugu mteja weka namba yako ya simu tukutoe katika hiyo huduma tafadhali.
 
Na mimi hivyo hivyo Tigo! Mnaniunga sijui na matwitter Sitaki. Kwa nini mtu umuunge eti kama hataki ajitoe. This is stupid na nitawashtaki!
 
Back
Top Bottom