MZALENDO NO.1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 302
- 134
Staki kuandika maneno mengi, ila nashangaa!!!! ina maana police hawajui kuwa Dawasco huwa wanapakaa ofisi zao hii Rangi? Tunashindwa kutofautisha Polisi na dawasco. Nashauri Polisi wapakae vituo vyao kwa Chini Rangi ya dark blue, kutofautisha na dawasco ambao kwa Chini wanapakaa light blue. Ofisi za dawasco na Polisi juu pakaeni white calour lakini Chini tofautisheni
Hapo ni kituo cha dawasco na kituo cha police Osterbay[emoji1]
Hizo uniform na Gari la Polisi, hizo ndo zingetakiwa ziwe Rangi maalum za Polisi na sio Rangi kama ofisi za Dawasco. Naamini Wazo langu na ushauri wangu utachukuliwa na mamlaka husika. Niwatakieni kazi njema katika kuijenga nchi. HAPA KAZI TU