Hute
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,537
- 6,463
Nilinunua king'amuzi chao kwa sababu ya hiyo channel tu, watoto wangu wanashinda wanaangalia na wanaipenda.
Wameifuta watoto wananisumbua kila nikirudi jioni wanasema niwawekee scoan.
Hivi ninyi azam, kwanini mmeiondoa? Ile movie Emmanuel? Tafadhali rudisheni, wengi wamenunua ving'amuzi vyenu kwa ajili ya hiyo tu, sio kila mtu ananunua king'amuzi chenu awe anaangalia miziki ya kina Diamond.
Mtakimbiwa na kundi kubwa sana la wateja au inawadhuru nini ikiwemo?