A Man from year 2256.. Time travel

carcinoma

JF-Expert Member
Mar 5, 2017
5,059
13,719
Habari wakuu..

Hivi unataamua kufanya nini kama ukiamka ukapata siri ya kusafiri na muda (time travel)
Yaani uwe na uwezo wa kuchagua muda wowote unaotaka kwenda.
Kwa mfano unaweza kwenda mwaka 2o99 then ukarudi sasa hivi 2018?
Au ukaenda mwaka 1944 ushuhudie vita ya pili ya dunia mubashara..

Sasa basi twende kwenye maada moja kwa moja..
Kuna watu wanaamini inawezekana ku time travel na wanatoa evidence zao kwamba inawezekana.
Moja ya evidence iliyopo ni jamaa mmoja aitwaye Andrew Carlssin yeye alifanya biashara ya kuinvest kwenye stoke market na mtaji wa dolla 800 ilikuwa ni mwaka 2003 baada ya week 2 akapata faida ya dolla milioni 350!!!.
FBI wakaona ni kitu kisichowezekana kwahio wakaanza kumchunguza. Walimkamata na kumfanyia mahojiano ili ifahamike ametumia trick gani kupata pesa hizo..

Baada ya kumbana sana aliwajibu kuwa yeye anatoka mwaka 2256 kwahio amekuja mwaka 2003 na time machine yake..
Na huko mwaka 2256 biashara hizo za fedha zimeendelea sana kwahio ukitumia ujuzi kidogo wa zama ambazo yeye anaishi unapata faida kubwa wakati wetu (2003).
FBI walishindwa kumuelewa wakajua labda atakuwa chizi
andrew-carlssin-a-time-traveller-who-got-busted-for-insider-trading-xx-photos-6.jpg

Walimuachia lakini baada ya kutoka hakuwahi kupatikana mpaka leo hii..

Ushahidi wa pili kuhusu ku time travel ni picha zinalizopigwa kombe la dunia 1962 ambapo kuna jamaa alionekana kashika mobile phone
images-1.jpeg

Inasemekana jamaa alikua katoka dunia ya sasa hivi akawa ameenda kupiga misele na kucheki komba la dunia live la mwaka 1962..

Kuna picha nyingine ya jamaa kapiga pamba za kisasa miaka ya zamani sana ambapo utamaduni wa mavazi haya haukuwepo..
images.jpeg

...hio ni baadhi tu ya mifano kuelezea kua kumbe inawezekana kutoka sasa hivi 2018 na kwenda zako 1680's ushuhudie vasco dagama anavotua bongo...
Au uende zako 1961 ushuhudie uhuru wa tz mubashara..

Kama wewe ukipata siri hio utaenda mwaka gani??
Na kwa nini??
 
There's no such things like time travel...

Hayo mambo ni ya kufikirika tu, watu huishi katika wakati uliopo...
 
Mtu anaweza kusema huyowakwanza niinsider trader tu, hizo picha mbili zinaweza kuwa ni photoshop.

Ukiweza kujua stock market itakavyokwenda kesho tu unaweza kutengeneza mamilioni ya dola kwa futures trading, wala huhitajikuwa na elimu kubwa sana.

Ni kama ujue matokeo ya mechi ya kesho, uyajue leo, halafu u bet leo kwenye matokeo hayo, huhitajielimukubwa kubet ushinde wakati matokeo ya mechi ya keshoushayajua leo.

Ukiangaliamovie ya "Back To The Future"wameonesha hilo.
 
Mkuu kisayansi ukiweza kusafiri spidi zaidi ya mwanga basi unaweza kwenda mbele ya muda uliopo
Ni kweli,

Lakini pia, kisayansi, kitu chochote chenye uzito, hata mdogo vipi, hakiwezi kusafiri zaidi ya speed ya mwanga katika vacuum.

Na mpaka sasa hakuna chochote kinachoweza kusafiri kuzidi speed hiyo ya mwanga.
 
Mi nitaenda kuhudhuria harusi ya wazazi wangu.
Katika many world interpretation ya quantum physics, ulimwengu wa wazazi wako kukutana utakuwa haupo.

Utaweza kurudi nyuma, lakini kwenye ulimwengu mwingine tofauti.

Kwa sababu, ukirudi kwenye ulimwengu ambao wazazi wako wanaoana,halafu ukamuua mzazi wako mmoja kabla wewe hujazaliwa, wewe utakuwa umezaliwaje?
 
Mtu anaweza kusema huyowakwanza niinsider trader tu, hizo picha mbili zinaweza kuwa ni photoshop.

Ukiweza kujua stock market itakavyokwenda kesho tu unaweza kutengeneza mamilioni ya dola kwa futures trading, wala huhitajikuwa na elimu kubwa sana.

Ni kama ujue matokeo ya mechi ya kesho, uyajue leo, halafu u bet leo kwenye matokeo hayo, huhitajielimukubwa kubet ushinde wakati matokeo ya mechi ya keshoushayajua leo.

Ukiangaliamovie ya "Back To The Future"wameonesha hilo.
Ndio maana nasema jamaa inawezekana alikua from the future anajua soko litakavyoenda
 
Forex
 
Ndio maana nasema jamaa inawezekana alikua from the future anajua soko litakavyoenda
Ukisoma hiyo article inavyoanza alishitakiwa kwa insider trading.

Unaweza kupiga hivyo bila kuhitaji kuwa a time traveller from the future.

Unaweza kupiga hivyo kwa insider trading tu.
 
Ngoja niweke siasa halafu nichafue hali ya hewa....mimi nitaenda 2015 na kumwambia Mbowe asimkabizi Lowassa mamlaka ya kugombea uraisi
Hahaa ukimwambia hatakubali atajua ni propaganda za CCM
 
Hiyo ni ideal science..ts not practical...kwasababu mtu akiweza kusafiri kwa speed zaidi ya light means molecular body structure yake ita disintegrate....
Achilia mbali molecular structure ku disintegrate, it is against the laws of physics for anything with mass to reach the speed of light.

Even if it has a very small mass, reaching the speed of light will be impossible because it will get heavier and heavier tending to infinity mass as it nears the speed of light.Every addition in velocity will require an insane amount of energy, up to the entire mass of the universe.

In other words, the entire mass of the universe is not enough energy to move any massive object, no matter how small, at the speed of light.

This has been proved many times over by Einsteins Relativity equations.
 
Novel ya time machine
 
Attachments

  • timemach.pdf
    275.8 KB · Views: 65

Similar Discussions

Back
Top Bottom