NGERESHAA
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 1,307
- 1,815
Habari wana Jf kama kichwa cha habari kinavyo jieleza: Kuna swali kila Cku huwa najiuliza kuhusa Vichaa
Hapa nazungumzia Vichaa kwelikweli wale Ambao ukikutana naye Leo kwa Mara ya kwanza huulizi kwa Mtu ,Unakuta Anasama kitu kinatokea nikiwa Nyumbani Alipita mmoja alipofika kwa Jirani yetu Akalia kisha akamtaja Jirani yetu flani kua anakufa Ukweli jamaa Hakuamka kesho yake na Alikuwa Mzima Wa Afya.
Katika kusaka Tonge Mkoa Mwingine Akapita kichaa Akamwangalia Mgonjwa flani ambaye alikua kadhofika sana na Akamwambia kachume mti flani unywe kweli jamaa akatumia Akapona.
Ya mwisho kichaa Alikuta watu wamemzunguka Dada aliyekuwa na Mapepo Wanamkamata kwani alikuwa mkali na Nguvu nyingi Alipofika akamropokea kuwa wewe ulienda kununua mapepo na uchimbia Dawa Mlangoni ,walipofyatilia ilikuwa kweli wakaiondoa walipo punga wale pepo kirahisi Dada akawa Mzima.
Maswali yangu :
1.Hufunuliwa na Mungu?.
2.Kwanini hutoa utabiri huo na kuondoka Mara moja na huwa hawarudiii ukisiki ni Bahati yako na hawana Maelezo Marefu?.
3.Mbona wakati wote Wakiongea Hawaongei kitu cha kuelewka ila wakati wa Utabiri Wao tu?
4.Mwisho kuna wakati anaweza akakupenda ukashangaa anaongea nawe vizuri au kusalimiana nawe vizuri na anakwambia we ni Mtoto wa Flani wakatini ni kichaa wa mbali mmekutana tu?
Hiyo no 4 ilisha wahi nitokea nilishangaa sana.