Nielewesheni kuhusu hii biashara ya pay diamond

Nielewesheni kuhusu hii biashara ya pay diamond

Bwana Miti

Member
Joined
May 6, 2018
Posts
17
Reaction score
1
Tafadhari, kwa yeyote aliye na ufahamu juu ya eti biashara inayoitwa 'PAY DIAMOND' tafadhari atuelimishe na wengine tusije tukaliwa pesa zetu jamani. Maana leo nimekutana na dada mmoja wa kihaya amenishawishi sana sana ila nafsi imekataa kabisa.
 
Back
Top Bottom