Wakuu heshima kwenu.
Nategemea kwenda unyaluni kwa Mara ya kwanza.
Naombeni mnijuze basi gani zuri la kutoka Dar kwenda Iringa lenye USB CHARGING SYSTEM na huduma zingine.
Natanguliza shukrani kwenu.
CRDB Simbanking wakati inaanza kulikuwa na huduma ya fund transfer kwa wateja wa Airtel Money na M-pesa ie ilikuwa inawezekana kuhamisha fedha kutoka CRDB Account kwenda Airtel Money au M-pesa...
Mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam zimeiathiri kwa kiasi kikubwa kampuni ya mabasi yaendayo haraka (UDART) na kusababisha kampuni hiyo kugeuza moja ya mabasi kuwa ofisi.
Chanzo...
Wawekezaji wa kampuni ya simu za mkononi ya VodaCom Tanzania wapoteza mtaji wa Sh350 bilioni katika kipindi cha miezi mitano tangu kuorodheshwa kwenye Soko la Hisa Dar es Salaam (DSE)
Chanzo...
Wasalaam
Mimi ni kijana wa miaka 21 naombeni mni kopeshe shilingi elfu saba ambayo nitailipa baada ya siku tatu
Lengo langu nataka nifanye biashara ya kuuza karanga ambayo mtaji ni elfu kumi na...
ijumaa karim wana jamvi..
nimekuwa nikiona matangazo ya opera browser na opera newz app ambao ni kitu kimoja katika mitandao yanayohamasisha kui download lakini kwa asilimia 100 ya ADS zao...
Jamani tigo niwezi sana.. Leo muda si mrefu wamenitumia SMS oh bonyeza sijui nyota na minamba yako ili kupata UNI offer na wamesema eti unapata dakika 125 na GB 1.2
Bana si nikabonyeza kutazama...
Jana taasisi ya utafiti ya TWAWEZA ilitoa utafiti kuhusu sauti za wananchi katika swala la Elimu nchini.
Katika utafiti wao wananchi wamechagua kuchangia Elimu ya Watoto wao alimradi tu iwe...
Habari wana jamvi, natumaini mko poa na wengine tukiendelea na mfungo wa pili.
Niende moja kwa moja kwenye mada. Kumekuwa na wimbi la videos/video clips zikisambaa saba kwenye mitandao ya kijamii...
Hakuna matamu yasiyo na karaha!
Mnyama kitimoto ni mtamu sana hasa akipikwa kama rojo [mbogamboga] aliwe na ugali au ndizi za kuchoma! Wakati huo umeshang'ata bia kadhaa.
Cha ajabu kuhusu...
Hiyo application inapatikana play store...
Ina option ya ku protect SMS, WhatsApp, Messenger na kila kitu utakachoiruhusu kwenye simu yako.
Unaweka password yako kuzuia vitu vyako muhimu kwenye...
Salamu ndugu zangu.Amani iwe nanyi!
Kwa wafanyakazi walio wengi weekend ni siku ambazo huwa hawaendi kazini. Huitwa siku za mapumziko ama weekend.
Binafsi mimi ni mkristo [Anglican]… Mimi huwa...
Maisha ya gerezani huwa si mazuri, hakuna anayependa kwenda jela. Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amekaa gerezani kwa siku 73, lakini mwanamuziki huyo wa hip hop, anasema katika siku...
Nisikitike sana SANA! Mambo ninayoyaona kwa Watanzania wengi hapa Nchini na hata nje ya TZ ni AJABU kwakweli. Tabia zenu HAZIELEZEKI, hazieleweki! Yaani ikitokea nimeishi na Mtz ama kufanyakazi na...
Siyo siri tena, kufutwa fao la kujitoa ni tatizo kubwa. Sina hakika kama watunga sheria walifikiria kwa kina wakati wanatunga sheria hiyo.
Lakini pia hata kama hwakufikiria kwa kina, swali...
Nilinunua kiwanja Eneo la Mwakibete Mlima James mlima wa tatu toka mlima VETA karibu na Lyoto sekondari .Ni mwaka wa tatu sasa tangu ninunue ,lakini aliyeuza alipatiwa na jiji zaidi ya miaka...
Sisi binadam tuna mengi,
Kwa bahati mbaya Africa na hasa Tanzania tukisikia imani, tunadhani ni za dini pekee... la hasha..
Ukweli upo hivi, imani zipo kwenye mambo yafuatayo...
1. Dini/...
Akizungumzia suala hilo Sugu amesema kwamba kitendo hicho kilimshangaza kwani kulikuwa kuna watu wengine wengi walikuwa hawana sare na wamefungwa mule muda mrefu lakini walikosa sare, hivyo...