Mungu awe nanyi wakubwa
Mwaka Jana Tuliona Mtanzania mwenzetu ambaye alipatwa na matatizo, hapa urusi, na matatizo yake yasingejulikana kama si Lugumi, kwanza tumshukuru Lugumi sintofahamu zake...
Aidha, jumla ya watu 166 wameugua ugonjwa huo katika kipindi hicho.
Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga, Dk. Halfan Haule, alitoa taarifa hiyo katika kikao cha Kamati ya Afya ya mkoa huo ambayo...
Serikali na Jeshi la Polisi tatueni suala la foleni, watu tunaamka saa kumi asubuhi halafu tunafika kazini saa nne.
Makonda RC hayo na mambo ya msingi ya kudeal nayo.
Habari ndugu,
Kifupi nina tatizo hivyo naomba msaada wa ushauri, nimepoteza bima ya afya na nina tatizo hivyo inatakiwa nifanyiwe operation haraka iwezekanavyo! Hivyo naomba ushauri wa kujua...
Magavana wa nchi za Afrika wametakiwa kuwa na utayari wa kuzisaidia nchi zao kutatua changamoto za kiuchumi na kuhamasisha maendeleo endelevu ili kuendana na mapinduzi makubwa yanayotokea kote...
Kuna jamaa mmoja alinikopa 300,000/= amezingua miezi 2 hajanilipa. Nimembana, kasema mshahara wa February atalipa. Niko bush, naombeni mnijuze kama tayari, nimkabe kabla hajaumaliza.
Hongera sana Ms Joyce Msuya kwa nafasi hiyo ya Deputy Executive Director of UN Environment.
Naona Watanzania sasa wanakamata nafasi za kimataifa tena wakina mama hongereni sana.
======
New...
Baraza la Wataalamu wa Maabara za Afya nchini limesema wataalamu 71 wa maabara waliowasilisha vyeti vya kwa ajili ya usajili, wamebainika kuwa na vyeti vya kughushi.
Kauli hiyo imetolewa leo...
Watoto wawili umri wa miaka 8 na 12, wameibuka mashujaa baada ya kuopoa mwili mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Mzee Nampwenge aliyekufa maji, baada ya kuzama kwenye bwawa alipokuwa akiogelea...
Nawapongeza hawa jamaa wa usajiri wa vizazi na vifu.
Kuna Cheti cha dogo mmoja nilikuwa nafuatilia siku kadhaa zimepita, baada ya mchakato wote nikaambiwa baada ya siku kumi kitakuwa tayari.
na...
Mod naomba msiunganishe huu uzi na zilizopita, hii ni list mpya kwa mwaka 2018 ambayo nimeifanyia research mimi mwenye..
Kwa wale ambao wangependa kwenda kutafuta wanawake warembo nje na tanzania...
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi. William Lukuvi, amekutana na Mufti Abubakar Zubairy na Ujumbe wa tume iliyoundwa kuhakikisha mali za Waislamu zinarejeshwa.
Waziri Lukuvi amepokea...
Nikawaida kwa mabasi mengi yaendayo mikoani pindi yanapotaka anza safari kupanda Mchunguji au Pasta kwa dhamira ya kuombea na kuhubiri.
Bila ya kuangalia ndani ya gari kuwa kuna watu wenye iman...
Wana JF ni miezi kadhaa sasa tangu Daladala zilizopewa leseni za kusafirisha watu zinakatisha ruti na hazichukuliwi hatua wala hawafanyi uchunguzi kama enzi za mwibula hata Mwakyembe alisaidia...
Juzi nilienda kumtembelea rafiki yangu ambaye tangu apate mtoto nilikua sijawahi kuonana nae.
Nilivyofika kwake nilikuta amekabeba kachanga chake chenye umri kama miezi 4.
Baada ya...
Mwanza ujambazi huwa hauishi kabisa!
Jambazi amempora mChina gari aina ya Toyota Kluger V na baadae kunyakua Milioni 9 kisha kutokomea.
Polisi katika kuwafukuzia wakafanikiwa kupiga risasi tairi...
Habar wakuu,
Kwa masikitiko makubwa napenda niwaombe TANESCO waje watoe kila kilicho chao majumbani mwetu ili tujue moja.
Wameanzisha utaratibu wa ajabu kwa wateja wanaodaiwa madeni. Mwanzo...