Updated: Nchi 10 Zenye Wasichana Warembo Zaidi Afrika, TZ namba 7

Traveller X

JF-Expert Member
May 2, 2017
271
305
Mod naomba msiunganishe huu uzi na zilizopita, hii ni list mpya kwa mwaka 2018 ambayo nimeifanyia research mimi mwenye..

Kwa wale ambao wangependa kwenda kutafuta wanawake warembo nje na tanzania basi nchi hizi ndizo zakuangalia zaidi:

  1. Rwanda
  2. Somalia
  3. Ethiopia
  4. Cape verde islands
  5. Angola
  6. South Afrika
  7. Tanzania
  8. nigeria
  9. Ghana
  10. Kenya
Picha,tazama video hii fupi..

 
Acheni uongo, hao wanyarwanda wenye sura km vinyago vya pale mwenge! Na pua zao km mijusi? Km Rwanda inaongoza akina Ndikumana wangekuja kuhangaika na milupo ya huku? Waulizeni wakina Niyonzima, hata wao wanawashangaa mnavosema mademu wa kwao wazuri. Unataka kusema Tz inaizidi Boswana au Nigeria, Swala la urembo inategemea unatumia vigezo gani. Mbona kwenye mashindano hawafiki kokote?
 
Huu urembo sasa, naomba next time utoe kigezo cha makeups tuuone uo urembo vizuri. Ata mbuzi ukimkwatua fresh anaonekana mrembo
 
Mod naomba msiunganishe huu uzi na zilizopita, hii ni list mpya kwa mwaka 2018 ambayo nimeifanyia research mimi mwenye..

Kwa wale ambao wangependa kwenda kutafuta wanawake warembo nje na tanzania basi nchi hizi ndizo zakuangalia zaidi:

  1. Rwanda
  2. Somalia
  3. Ethiopia
  4. Cape verde islands
  5. Angola
  6. South Afrika
  7. Tanzania
  8. nigeria
  9. Ghana
  10. Kenya
Picha,tazama video hii fupi..


hivi Mauritius haipo Afrika mkuu?
 
Aisee Tanzania tumependelewa, mademu wetu wapo kama mzee wasira au mzee pinda hiyo nafasi tumeipataje, hapo uvccm lazima watakuwa wametoa rushwa
 
Back
Top Bottom