Msaada kwa mwenye chip ya UK akiwa TZ

Msaada kwa mwenye chip ya UK akiwa TZ

Escrowseal1

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2014
Posts
4,800
Reaction score
4,859
Wadau,

Nimekwama nimenunua I phone yangu UK bahati mbaya nikawa nimempa ndugu yangu ilikuwa haijawa unlocked nitafanya kuupigia mtandao uliokuwa ukitumika kwenye simu so imeshakuwa unlocked ila nahitaji kuiprogramme lazima itumie chip ya Uk . Kama kuna alieko Bongo anaweza kuwa na chip ya Uk naomba anirahisishie Ili nipate kuitumia. Nitashukuru sana kwa atakaenisaidia kwa hili wapenzi wanajamii.
 
watu wana stress za maisha ya bongo, kilichokurudisha kutoka nchi ya maana kuja hapa kuzimu ni nini? Utajua mwenyewe!
 
Ujue za UK ni ndogo sana hata kwenye TECNO hazikai ndio maana inakuwa ngumu kukusaidia.
 
Nadhani hujanielewa nataka yeyote mwenye chip ya UK Ili ni unlock na kumrudishia in seconds maana siwezi ku unlockia za Tz so kama unayo ya uk Kama EE , T mobile nk itanisaidia ku unlock Nan kutumia na si kuendelea kutumia chip yako is just for unlocking
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom