Wanaweza wakawa wamenusurika kufa leo sasa hivi, uchunguzi unafanyike kuhakikisha hawatapata madhara siku zijazo.
Wasijeendelea kuugulia taratibu na kupata matatizo ya muda mrefu bila kujua tatizo ni hii hewa yenye sumu waliyovuta leo.
Unamaanisha pale Sigara?
Aisee pale ukipita nje tu waweza hata kulewa kwa ile harufu
Unamaanisha pale Sigara?
Aisee pale ukipita nje tu waweza hata kulewa kwa ile harufu
Mh nasubiria jibuKiwanda cha Mo wa Simba, swali ni je kama wamiliki wa kiwanda wanakosa umakini mpaka acid ina penyeza kwenda nje na kuleta madhara, products zao siko salama?
Watu 46 katika kiwanda cha sabuni cha Royal wanusurika kufa baada ya kuvuta hewa iliyokuwa na sumu katika kiwanda hicho.
Chanzo: ITV
View attachment 783912