dar 2 dom sidhani kama hio bei maana ni zaidi ya bei ya Dom 2 KilimanjaroBora upande basi, dar dom ni kuanzia 350000
Yaani Mbeya - Dar - Dodoma, si afadhali apande basi kwa 30,000/=.choice uliyonayo ni bombadier maana fast jet haiendi dodoma. hivyo nenda kwenye website ya airtz ujaribu kufanya booking utajua ni kiasi gani. lakin bila shaka utapitia dar
Danga limemwita, anatakiwa apokelewe Airport Dom na sio Stend ya 8-8Yaani Mbeya - Dar - Dodoma, si afadhali apande basi kwa 30,000/=.
Hongera. Wakati huu wa jiwe malaika mfanyabiashara wa pawpaw si wa kuchezea feza. Karibu Jijini Dom. Karibu jangwani😀😀😀😀[emoji23][emoji23]nimeshafika mkuu.nilipanda bus tu.