Sakata la Dokta Shika liliisha ifuatavyo

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,243
Reaction score
48,745
Mungu awe nanyi wakubwa

Mwaka Jana Tuliona Mtanzania mwenzetu ambaye alipatwa na matatizo, hapa urusi, na matatizo yake yasingejulikana kama si Lugumi, kwanza tumshukuru Lugumi sintofahamu zake zimesababisha ufahamu juu ya mambo,

1. Hatukuwahi kujua kama kuna mtu alipatwa matatizo kama haya,

2. Hatukuwahi kumulika sana juu ya suala la ubaguzi ndani ya urusi na Slavic counties, limefanya watanzania wawe makini wawapo maeneo haya,

3. Limetoa somo kwamba si vema mtu anaweza tu kuamua kuwekeza popote hasa Asia na ulaya bila kujiridhisha na kuhusisha balozi zetu

4. Si vema kuandaa mnada kama yono walivyofanya bila kujiridhisha kwa kiasi mtu alichonacho

5. Mbaya zaid imeonesha kuwa kila mtu huwa ni tambala la kudekia na kuliacha muda wake unapoisha,

6. Ile suala limeonesha serikali yetu isivyomakini na watu wake badala wamsaidie matibabu wakaacha akaendelea kutuma hela ya ku insure hela yake ambayo hasingeweza kuipata,

Somo kubwa zaid ni ushikaji wa kengele ili mbwa asikuume

Kwa kifupi mi nilibahatika kufika maeneo yote ambayo shika ameyaeleza na kufanya uchunguzi wangu, lakin mwishoni kabisa nikagundua sumu aliyochomwa aina ile inamfanya mtu insane,

Tuwekane wazi kwamba pamoja na umiliki wa mali nyingi vile lakin zilichukuliwa na kumilikiwa na wengine kinyemela, hana chake tena hapa

Msaidieni akae maisha mema huko,

Pole sana Daktari Shika,

Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli
 
Acha Kufukua Makaburi, Ya Dokta Shika Yalishapita, Twende Na Haya Mapya Ya Mkuu Anaekana Jina Lake Alilolilia Hadi Kanisani, Makontena Bandarini Yatafanya Aanze Kutumia Jina Lake Halisi.

Aka Mimi
 
Haha hii kali
 
Mungu awe nanyi wakubwa

Mwaka Jana Tuliona Mtanzania mwenzetu ambaye alipatwa na matatizo, hapa urusi, na matatizo yake yasingejulikana kama si Lugumi, kwanza tumshukuru Lugumi sintofahamu zake zimesababisha ufahamu juu ya mambo,

1. Hatukuwahi kujua kama kuna mtu alipatwa matatizo kama haya,

2. Hatukuwahi kumulika sana juu ya suala la ubaguzi ndani ya urusi na Slavic counties, limefanya watanzania wawe makini wawapo maeneo haya,

3. Limetoa somo kwamba si vema mtu anaweza tu kuamua kuwekeza popote hasa Asia na ulaya bila kujiridhisha na kuhusisha balozi zetu

4. Si vema kuandaa mnada kama yono walivyofanya bila kujiridhisha kwa kiasi mtu alichonacho

5. Mbaya zaid imeonesha kuwa kila mtu huwa ni tambala la kudekia na kuliacha muda wake unapoisha,

6. Ile suala limeonesha serikali yetu isivyomakini na watu wake badala wamsaidie matibabu wakaacha akaendelea kutuma hela ya ku insure hela yake ambayo hasingeweza kuipata,

Somo kubwa zaid ni ushikaji wa kengele ili mbwa asikuume

Kwa kifupi mi nilibahatika kufika maeneo yote ambayo shika ameyaeleza na kufanya uchunguzi wangu, lakin mwishoni kabisa nikagundua sumu aliyochomwa aina ile inamfanya mtu insane,

Tuwekane wazi kwamba pamoja na umiliki wa mali nyingi vile lakin zilichukuliwa na kumilikiwa na wengine kinyemela, hana chake tena hapa

Msaidieni akae maisha mema huko,

Pole sana Daktari Shika,

Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli
Mkuu yule dr Shika ni mgonjwa wa akili. Yote aliyosema kuhusu kumiliki fedha hayana ukweli. Alikuwa Urusi ndiyo lakini alichanganyikiwa na kurudishwa Tanzania.
 
Back
Top Bottom