Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa Dar tayari sisi ni Mkoa tajiri kuliko Mikoa yote TZ, hivyo ningependekeza Mkuu wetu wa wa Mkoa wa Dar P.Makonda ahamishiwe Mkoa masikini ambao bado haujaendelea kama Kigoma, Lindi, Ruvuma au...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Ukiwa mwenyeji ama mzaliwa wa maeneo ya Shinyanga ama Geita na kama ni mdau wa madini katika uchimbaji mdogo basi neno "manyani" utakuwa umeshalisikia mara kibao. KWA NINI WANAITWA MANYANI...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara Lucas Mkondya amewataka madereva bodaboda kuwapiga picha abiria wao kabla hawajaanza safari, kwa ajili ya usalama wao. Lucas Mkonda ametoa rai hiyo kufuatia tukio...
1 Reactions
39 Replies
5K Views
Sio kwamba nawachukia, sio kwamba sipendi wasaidiwe laa hasha! Binafsi sina moyo kabisa wa kuwasaidia watoto hawa ambao nawakuta kila siku wakiwa kariakoo aidha kwenye kiti cha walemavu au chini...
0 Reactions
7 Replies
920 Views
Muda ni kitu muhimu sana hapa duniani na kamwe muda haurudi nyuma.Ukiachwa na muda ujue umeacha na dunia. Ni hayo tu na sitoandika mengi
1 Reactions
33 Replies
7K Views
Mauaji hayo yalitokana na ugomvi baina ya mtuhumiwa ambaye inadaiwa kuwa alikataa wito wa mumewe kupika chakula baada ya kutokushiba. Akizungumzia na Nipashe jana kuhusiana na tukio hilo, Kamanda...
0 Reactions
36 Replies
7K Views
Kuna tabia fulani hivi mtaani imezoeleka. Unamkuta askari anamfukuza bodaboda huko uchochoroni wanakimbizana mwanzo mwisho. Hao vijana wa bodaboda ni wahuni. Wanawaelekeza maeneo hatarishi.Huko...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
NAOMBA DAKIKA YAKO MOJA TU!!! PUNGUZA..! Ukitaka kuachana na nzi tupa kwanza mzoga ulionao, Namaanishaa Ukitaka mafanikio punguza kwanza marafiki hewa, wanafiki na watu wasiyona maana kwenye...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Picha za mwonekano kutoka juu wa shule ya sekondari ya Ihungo iliyopo mkoani Kagera, Shule imekarabatiwa na serikali kupitia msaada wa wasamaria kutoka uingereza baada ya kuKumbwa na tetemeko la...
16 Reactions
89 Replies
22K Views
TUKIO LA DR. SHIKA Dr. shika alishikiliwa na jeshi la polisi kwa mahojiano kutokana na tukio la kuvuruga mnada wa nyumba za Lugumi, Ambapo pamoja mamlaka lililonayo jeshi lilijiridhisha paspo...
4 Reactions
57 Replies
8K Views
Tunaelekea mwishoni mwa masomo ya meditation kwa wiki hii Kuna hili la kuchoma pesa kwenye imani za kibudha japo pia inaambatana na tamaduni za Kichina Zaidi ya kuchoma pesa pia kuna kulisha...
5 Reactions
74 Replies
15K Views
Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza linamshikilia mwanaume mmoja kwa tuhuma za mauaji ya mtoto wake wilayani Ukerewe mwenye miaka miwili baada ya kumchapa fimbo sehemu mbalimbali za mwili kutokana na...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Mimi mtanzania asiyependa rushwa naiomba tume ya kudhibiti nidhamu za mahakimu kumfukua kazi hakimu mkazi wa mkoa wa Kagera anaitwa Mpelembwa na hakimu mkazi wa wilaya Bukoba anaitwa Mwakihaba kwa...
1 Reactions
16 Replies
5K Views
Bila shaka hili si neno geni masikioni mwako, kwanini unashauriwa kuwa na ndoto? Umewahi kujiuliza hiyo ndoto ni ya aina gani na ina manufaa gani kwako? Vijana wengi hawafanikiwi au niseme...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Naibu Waziri wa Kilimo Mh.Mary Mwanjelwa amelieleza Bunge kuwa Serikali imeanza kufanya uchunguzi ili kubaini watu walioruhusu kupelekwa Korosho zilizochanganywa na mawe bila ya kuchambuliwa nje...
0 Reactions
1 Replies
982 Views
Hai great Usiku wakuamikia leo nimeota njozi Naaanza kusimulia #: Nikiwa nimelala ikanijia njozi nipo uwanja wa Taifa nikiwa nasubiri kutizama mechi kati ya Taifa stars Vs ......... Lakini...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Tukio la aina yake limetokea usiku wa kuamkia ya Leo katika eneo la Rau Madukani manisapaa ya Moshi.Tukio hili limepelekea watu wengi kujazana nje ya nyumba ya wageni iitwayo #SELEEN Mara tuu...
4 Reactions
241 Replies
32K Views
Jana nilikuwa salooon mpya (Sijaizoea) maeneo ya Sinza.... Kuna dogo kaja, analalamika nadhani ni mgeni.. kaomba kunyoa ndevu na Kichwa, ila ndevu watumie magic...... kumbe wamempiga stima ya...
51 Reactions
440 Replies
74K Views
Natafuta gari Mkopo million nne na nusu,kila mwezi nitakuwa nalipa laki nne,ni mfanyakazi,nipo kimara mwisho,aina ya gari yoyote Nzuri. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Kama taito inavyosema hapo juu, leo nikapata message kitu kimeingia, kwa sisi wa TGO umewahi sijui wenzetu TG zingine. A u ni kwa ajili kununua iftari? AL eid Je? Tutapewa ?
2 Reactions
44 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…