minded tips
JF-Expert Member
- Apr 29, 2018
- 506
- 876
NAOMBA DAKIKA YAKO MOJA TU!!!
PUNGUZA..!
Ukitaka kuachana na nzi tupa kwanza mzoga ulionao, Namaanishaa Ukitaka mafanikio punguza kwanza marafiki hewa, wanafiki na watu wasiyona maana kwenye maisha yako.
KUMBUKA..!
Usaliti siyo bahati mbaya, ni makusudi. Kumpa nafasi ya pili msaliti ni kujitesa mwenyewe
NAKUAMBIA KWELI..!
Ukihisi wanakusema ujue ujiamini ila ukiona wanakusema ujue unaakili.
NAKUSISITIZA..!
Mheshimu mjinga uokoe muda na kuepukana na balaa.
NAONGEA NA VIJANA WENZANGU..!
Acha akili za kicheche kila saa wewe kufikiria mapenzi tu, Think deeper fanya mambo yenye malengo kwenye maisha yako.
NAONGEA NA WADADA..!
Facebook siyo dampo la kupost picha zako zisizo na maana, uheshimu na kuusitiri mwili wako, wanaume tunataka mtu anaye jiheshimu siyo mtu anayetupa presha mitandaoni (mithali 31-30).
UTAFANIKIWA..!
Acha ujuaji (much know) hakuna anayejua kila kituapa duniani, sikiliza ushauri ufanikiwe.
SIKILIZA MAMA YANGU..!
Familia aijengwi kwa umbea wa mtaani, shirikiana na mumeo utaijenga familia imara.
SIKILIZA KAKA YANGU..!
Mke mzuri atafutwi messanger, instagram wala kwenye group la whatsap, mke mzuri anapatikana kwa kumshirikisha Mungu siyo kwa matamanio ya macho.
ACHA DHARAU..!
Kufika mbili kunaitaji kuanza moja stage after stage, kamwe huwezi toka stage moja kwenda mwingine kama una chuki, dharau wala kujiona daima utabaki mkia tu.
NINA UHAKIKA..!
Hofu na woga ndiyo chanzo cha kurudi nyuma kimaendeleo, punguza hofo.
HALIPINGIKI..!
Kumpenda asiye kupenda ni sawa na jutegemea jasho kwenye ulimi, na kumsahau uliye mpenda ni sawa na kumkumbuka usiye mjua.
KIMPANGO WAKO..!
Ufupi na urefu ni mpango wa Mungu, kama unasimu yako kubwa sijui iphone sijui samsang sijui nini sijui nini bado unategemea like na comment ya TECNO 340 tu hakuna sababu yakujiona mkwasi sana.
"Dawa ya mnafiki ni kuwa mnafiki zaidi yake "
NAKUKUMBUSHA TU BEST..!
___________**________**__________
NAKUHESHIMU NA NINAKUPENDA NO MATTER WHAT