TRA: EFD hazitumi Z-Report tatizo nini?

TRA: EFD hazitumi Z-Report tatizo nini?

RRONDO

Platinum Member
Joined
Jan 3, 2010
Posts
60,337
Reaction score
138,962
TRA ni zaidi ya wiki sasa mashine za EFD zinasumbua sana wakati wa kutuma Z-report. Unajikuta unajaribu nusu saa nzima inagoma. Inabidi ujaribu tena kesho yake ndio labda inaweza kukubali. Tatueni hii kero maanake msije kukurupuka huko mkasema hatutumii mashine.

Mr Kayombo tunaomba tatua hii issue maana ni kero sasa.
 
Nikajua ni mimi tu kumbe tupo wengi mimi hata hiyo kesho yake zii ni alarm tu
 
TRA ni zaidi ya wiki sasa mashine za EFD zinasumbua sana wakati wa kutuma Z-report. Unajikuta unajaribu nusu saa nzima inagoma. Inabidi ujaribu tena kesho yake ndio labda inaweza kukubali. Tatueni hii kero maanake msije kukurupuka huko mkasema hatutumii mashine.

Mr Kayombo tunaomba tatua hii issue maana ni kero sasa.
aisee hili kumbe ni tatizo kwa wengi si tulijua labda yetu inashida kumbe ni wao
 
Mimi nilipeleka kwa supplier akaniambia ni mtandao tu, na kweli ukijaribu mara nyingi inakubali ila ndio unamaliza roller bila sababu ya msingi.
 
IMG-20180520-WA0000.jpg
 
Back
Top Bottom