markdendesi
Member
- Sep 7, 2012
- 45
- 5
Ni utaratibu gani unatumika kusajili gari ya serikali iliyonunuliwa kwenye mnada?
Mh! Hiki nacho kiswahili au jamaa c raiaNENDACHUKO TRA MWENYEWE UKASAJILI.ANIA TRAFIKI WALIKAGUE KAMA LINAFAA KUWA BARABARANI BAADA YA KUFANYA MATENGENEZO GEREJI. WATAKUPA NYARAKA NENDA NAZO TRA KAMA UPO DAR KULE WANAITA LONG ROOM BANDARINI HUKO. UTAELEKEA SAMORA TRA KUPATA USAJILI . FANYA MWENYEWE KAMA UNA NAFASI MAKAMPUNI UTATJUJUA.
Nipe kazi nikufanyie.Ni utaratibu gani unatumika kusajili gari ya serikali iliyonunuliwa kwenye mnada?