Hasara za kuacha pombe hizi hapa…

Hasara za kuacha pombe hizi hapa…

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,627
Tuelewane tu hapa na tuwekane sawa kiroho safi.

Kutumia pombe kuna hasara yake ila hakuwezi kuzidi hasara ya kuacha pombe. Kuacha pombe kuna hasara kubwa (nyingi) zaidi kuliko faida katika muktadha ufuatao:

Ukiacha pombe;

1. Utakosa marafiki wengi sana ; wazuri na wabaya

2. Utakosa mambo mengi sana ya mtaani na ya kidunia (kiuchumi kijamii na kisiasa)

3. Utakosa ramani /dili nyingi sana za kukupatia kipato . Walevi wengi hukaa na kuweka mikakati bar na huwa inafanikiwa

4. Utachelewa sana kujenga nyumba na kuwa na gari . Walevi wengi wana magari mazuri na wana mijumba mingi sana

5. Utashindwa kumudu familia yako na utakuwa unagombana na mkeo /mumeo kila siku. Maana kila siku mnakodoleana macho tu home.

7. Utakuwa mtu wa majungu tu na unafiki kazini na mtaani pia

8. Utakuwa mchawi na mpenda ushirikina sana

9. Unakuwa ' mwanaume wa Dsm'. Mwanaume laini laini

10. Utakuwa unapigwa sana na mkeo

11. Nchi itakosa mapato kwa kunywa soda sana


Tunywe tu pombe maana hatuna namna!

Waiter ongeza moja.
 
Aisee mimi nimeacha pombe toka jana saa tano ucku,lakini mwili wote hapa ushagoma kufanya kazi

Nataka nishtue hata nachupa mbili tu
 
Waiter CASTLE LAGER THE PERFECT MOMENT tatu za bariiiidi jikoni nyama ya mbusi kilo moja na nusu kachumbari pilipili na kichuri ndizi tatu naanzaje kuacha pombe ili hali nimejenga karibu na TBL
 
Aisee mimi nimeacha pombe toka jana saa tano ucku,lakini mwili wote hapa ushagoma kufanya kazi

Nataka nishtue hata nachupa mbili tu
Karibu mkuu
IMAG0056.jpg
 
Aisee mimi nimeacha pombe toka jana saa tano ucku,lakini mwili wote hapa ushagoma kufanya kazi

Nataka nishtue hata nachupa mbili tu


Hahahahahahahahahahahahahahahh nicheke me jaman! Mie nimeacha nna Siku5!na nimeacha kweli
 
michongo yote mizuri na mibaya inapatikana bar! kwenye mabar watu hawafatiliii mazungumzo ya watu
 
Back
Top Bottom