Nimepata email kutoka kwa uncle

Nimepata email kutoka kwa uncle

Joowzey

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2015
Posts
13,164
Reaction score
13,556
Kwa mara ya kwanza nimepokea Text kutoka kwa my Anko aliyeko Marekani, kanitumia "Vipi wazima uko?" mara ya mwisho tuliongea nilikua Form 1 na ilikua kabla Trump hajashinda.. Baada ya kushinda nimepokea Email;
"Dear Family,
It's your Anko from America. Trump won. I will be on the first boat to Karatina tomorrow... Mniwekee supper na Avocado.."

Ankoooooooo banaaaaaaa
1f602.png
1f602.png
1f602.png
..
 
Nawe ulikula foo ya ngap mkuu.
 
Back
Top Bottom