Bukoba: Mahakama yamhukumu miaka 60 jela Ustadh Amoud kwa ubakaji na kulawiti mtoto aliyekuwa akimfundisha elimu ya dini

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,897
10,358
Mahakama ya Hakimu Mkazi wilaya ya Bukoba imemuhukumu kwenda jela miaka 60, Ustadhi Amoud Kyabushukuru kwa makosa mawili ya ubakaji na kulawiti mtoto mdogo wa kike aliyekuwa akimfundisha somo la dini.

Akisoma mashitaka hayo Wakili wa Serikali Grey Uhagile amesema mshitakiwa huyo alitenda makosa hayo Julai 6 mwaka jana.

DeXKX64XUAEDMgr.jpg
 
uyo unaenda kulawitiwa na yeye awe chakula cha nyampara kabisa
Kule ataenda kuendeleza mchezo huo. Wapo wengi tu magerezani wanaopenda kulawitiwa kwa hiyari yao. Ataoa hadi achoke!
Kuna kijana wa rafiki yangu ni tabibu kwenye zahanati ya gereza moja sitalitaja. Simulizi aliyonipa ya yanayotokea huko ni balaa, ile ni dunia nyingine kabisa. Kwa kifupi aliniambia wengi wa wanaolawitiwa magerezani wanafanywa hivyo kwa hiyari yao wenyewe.
 
Back
Top Bottom