Vijana amkeni mtembee huku na huko huenda mkaokota

Mmh. Watatokaje wakati saa nyingine mtu mfukoni hana hata sumni ya kusema hata akikanyaga kitu cha watu atalipa.
Heri kuliko kukaa home Mimi miaka 13 iliyopita nilikuwa nakanyaga usawa wa reli toka mitaa ya airport kwenda posta Asubui napiga rhumba jioni napiga reggae namaanisha kutembea kwa miguu kwenda na kurudi, km kilometers 10 hivi,daily bila kula,hatimaye nikaokota mwaka wa 13 sasa niko sehemu Salama basic need hainipigi chenga. Hivo wamokae concert wasikaee bure kuzurura unaondoa stress pia unajifunza mengi.
 
Mmh. Sasa miaka hiyo yote hiyo iliyopita sio sawa na sasa Mkuu. Cha zaidi wanaweza tamani fanya mambo ya haramu bure.

Ila pia sio mbaya usemalo wacha mwenye kuweza ajaribu huenda ikawa kama ilivyokuwa kwako Mkuu.
 
Heri kuliko kukaa home Mimi miaka 13 iliyopita nilikuwa nakanyaga usawa wa reli toka mitaa ya airport kwenda posta Asubui napiga rhumba jioni napiga reggae namaanisha kutembea kwa miguu kwenda na kurudi, km kilometers 10 hivi,daily bila kula,hatimaye nikaokota mwaka wa 13 sasa niko sehemu Salama basic need hainipigi chenga. Hivo wamokae concert wasikaee bure kuzurura unaondoa stress pia unajifunza mengi.
Mkuu itakua ulipata kazi ya kuendesha treni,miaka 13 kutembea pembeni ya reli lazma walikuajiri
 
Heri kuliko kukaa home Mimi miaka 13 iliyopita nilikuwa nakanyaga usawa wa reli toka mitaa ya airport kwenda posta Asubui napiga rhumba jioni napiga reggae namaanisha kutembea kwa miguu kwenda na kurudi, km kilometers 10 hivi,daily bila kula,hatimaye nikaokota mwaka wa 13 sasa niko sehemu Salama basic need hainipigi chenga. Hivo wamokae concert wasikaee bure kuzurura unaondoa stress pia unajifunza mengi.

Uliokota kazi?
 
Miak hyo ni sawa mkuu. Sasa hivi??
 
Watu wa bara cjuinkwa nimi hatupendi kutembea wapemba wanakujaga Tanga kavaa shuka tu anauza gahawa baada ya muda anaduka ana maisha yake sisi kisingizio sina mtaji hyo sio sababu wakongo wanavyokuja souz hata nauli hawana,waethiopia wanavyofungwa jela kwa kukosa passport lkn wakifika souz wanabadili maisha sisi tuna pasport hatuna vita labda mdio mana hatupendi kutoka ila kiukweli ukitok unakuwa makini sana na pesa kuliko nyumbani
 
Ujamaaa ulitulemaza sana, wakati ule tunaimba Kamona ameolewa Ulaya Waganda na Waingereza walikuwa wanaishi nafasi huko sasa wako kwenye kila sekta
 
Watu wa bara cjuinkwa nimi hatupendi kutembea wapemba wanakujaga Tanga kavaa shuka tu anauza gahawa baada ya muda anaduka ana maisha yake sisi kisingizio sina mtaji hyo sio sababu wakongo wanavyokuja souz hata nauli hawana,waethiopia wanavyofungwa jela kwa kukosa passport lkn wakifika souz wanabadili maisha sisi tuna pasport hatuna vita labda mdio mana hatupendi kutoka ila kiukweli ukitok unakuwa makini sana na pesa kuliko nyumbani
Wale wa Pemba wana Saidi ana kwa pesa ya karafuu. Tatizo ni kuwa kule ardhi ni ndogo
 
Heri kuliko kukaa home Mimi miaka 13 iliyopita nilikuwa nakanyaga usawa wa reli toka mitaa ya airport kwenda posta Asubui napiga rhumba jioni napiga reggae namaanisha kutembea kwa miguu kwenda na kurudi, km kilometers 10 hivi,daily bila kula,hatimaye nikaokota mwaka wa 13 sasa niko sehemu Salama basic need hainipigi chenga. Hivo wamokae concert wasikaee bure kuzurura unaondoa stress pia unajifunza mengi.
Ni kweli
 
Back
Top Bottom