Naomba kufahamishwa code namba ya simu +44 127

Agenda1

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2017
Posts
1,692
Reaction score
3,420
Heshima yenu wanajanvi,

Naomba mwenye kufahamu hii code namba ya simu anijuze +441277 yaweza kuwa ni code namba ya taasisi ipi ama ni code namba ya nchi gani.

Tafadhali naomba kujulishwa.

Asanteni.
 
Ila mkuu mda mwingine jiongezage asee. Kuna vitu vingine sio vya kuanzishia uzi. Sorry kama nitakukwaza ila ndio nakuambia ukweli.

Simu unayo na ina bundle na bado unapata shida kwa vitu kama hivyo?
 
+44 ni code ya kimataifa inayowakilisha nchi ya Uingereza, kwa kawaida inafuatiwa na namba ya simu yenye tarakimu 6. Hii namba +441277 itakuwa matapeli ambao wanafanikisha mbinu zao kwa kushirikiana na baadhi ya wafanyakazi wa mitandao ya simu.
 
Uko sahihi mkuu, lkn huenda kuna mwingine hakuwa anafahamu kama mm ila kupitia hapa amefahamu.
 
+44 ni code ya kimataifa inayowakilisha nchi ya Uingereza, kwa kawaida inafuatiwa na namba ya simu yenye tarakimu 6. Hii namba +441277 itakuwa matapeli ambao wanafanikisha mbinu zao kwa kushirikiana na baadhi ya wafanyakazi wa mitandao ya simu.
Mkuu ni kweli hiyo code imefuatiwa na tarakimu 6 ila nimeifupisha tu. Shukrani kwa mchango wako.
 
Karibu sana, Kama umefupisha nakuelewa, Ila wapo wanaotumia namba za namna hiyo kwa malengo yao ovu mtandaoni.
 
Back
Top Bottom