Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu poleni na majukumu Leo nilipata bahati ya kualikwa kwenye mkutano mmoja mjini Mkutano ambao ulihudhuriwa na waziri wa mambo ya nje na waziri wa fedha Pia na mabalozi kama sio wote...
5 Reactions
43 Replies
4K Views
Jeshi la Polisi limewakamata watu wawili wanaotuhumiwa kuiba fedha kwa njia ya Mtandao, ambao wanatumia pikipiki yenye namba za usajili bandia MC. 759 AHW na Chassis namba PFZWFK47770 aina ya...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimefuatilia Press ya bwana kangi na waandishi, Press hiyo imetawaliwa na shusha, fukuza, binafsi kama mwananchi sijafuarahishwa na hatua hizo, binafsi nimeona ni Kama kutafuta political mileage...
12 Reactions
37 Replies
6K Views
Hiyo ni ajali ya jana huko Igawilo Mbeya
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari wapendwa kuna jambo nimekuwa nasoma tu kwenye mitandao kuhusu mambo ya nyota na maana zake nilikuwa naomba kuuliza hizi chati huwa zina maana gani hasa yaani zinaonesha nini kwa sisi...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Maloli yanaoangukia magari ya abiria mlima nyoka,simike nk sababu mojawapo ni maloli kupita kwenye mitelemko mikali Na wakati huo magari ya abiria yanapita Barabara hizo!! Nilisoma kwenye ilani...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Leo katika pita pita zangu za hapa na pale nilihitaji kifurushi cha mtandao ninaotumia kwa ajili ya kuweza kupiga mitandao yote. Nilipofika kwa mtoa huduma nilimuuliza vocha ya **** ntapata...
0 Reactions
3 Replies
985 Views
Wakuu salam. Siku chache zilizopita niliomba ushauri kwenu kupitia bandiko hili:Nyoka wadogo ndani na nje ya nyumba Kiukweli muafaka tuliofikia ni kuhama na tumehama ijumaa hii. Shukrani kwa woote...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Kupanda ghafla kwa bei ya vifaa vya ujenzi kwazua mjadala. Kwa ufupi Uchunguzi uliofanywa na Mwananchi pamoja na wananchi waliohojiwa umeonyesha kupanda kwa bei ya saruji na vifaa vingine vya...
2 Reactions
9 Replies
14K Views
Wakuu salam. Nyumba ninayoishi nikiwa na familia yangu siielewi,hii nyumba tumepanga. Tangu mwezi desemba,2017 mpaka mwezi juni, 2018 tumeshaua nyoka zaidi ya ishirini(20). Ni zaidi ya ishirini...
1 Reactions
45 Replies
12K Views
Nawajuza tu kuhusu jina la maji marefu lilivyopatikana, huyu jamaa alikimbiza wachawi wengi sana pale tanga(walihama), hasa mitaa ya kwetu pale HALE,. pale kijijini kwetu hale kuna mto mmoja hivi...
22 Reactions
83 Replies
19K Views
Baada ya Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugora kuondoka Mbeya na kuvunja kamati zote, ajali nyingine imetokea usiku huu. Ajali hiyo inahusisha magari matatu na kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali...
9 Reactions
105 Replies
18K Views
Nimekaa na kutafakari hivi kwa nini mtu akiwa kichaa anakuwa anapenda sana uchafu wa kuokota takataka majalalani au barabarani? je ni nguvu za kirohoso ndio hupelekea jambo hilo au namna gani? kwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wasalaam wakuu. Pk kibaoni Dispensary imekuwa ikitoa huduma kwa watu waishio maeneo ya Tegeta hadi madale. Pamoja na kutoa huduma (ambalo ni jambo jema) lakini kuna mambo yanafanyika ambayo si...
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Habari wana bodi. Tangu mwaka 2012, nilipata changamoto kali sana ambayo niliamua kuifanyia kazi sasa nimefikia hitimisho. Nilikuwa najaza fomu za kupata passport, niaktumia majina ninayotumia...
20 Reactions
224 Replies
40K Views
Mkuu wa Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro, Mohamed Utaly amepiga marufuku uwepo wa ngoma za vigodoro wilayani humo kwa maelezo kuwa zinachangia wanafunzi kupata mimba. Utaly ametoa kauli hiyo leo...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Mganga aliyedai ana nguvu za kuzuia risasi apigwa risasi, afariki. Chinaka Adoezuwe 26 ambae ni mganga wa Kienyeji amefariki baada ya mteja wake kujaribu iwapo ana nguvu za kuzuia risasi kuingia...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Kwa wataalam wa magari Niko na kanoah kangu kamoja hivi nataka nikabadili mwaka wa kutengenezwa kutoka mwaka 1999 kwenda mwaka 2000 ili niitumie kwenye uber ,sasa sijui kama inawezekana na...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Hellow bosses, Tushilikishe channel zako bora 3 za TV na aina ya kingamuzi na bei ya kifurushi cha kulipia uli uzipate Zangu tatu bora za kila mda ni 1.Discovery Science 2.National Geographic...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani jijini Dodoma limewaonya wamiliki wa magari mabovu kutoyaingiza barabarani hadi hapo watakapoyafanyia matengenezo. Akizungumza leo Julai 6, 2018...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…