Noah Road Tourer 1999 nataka nibadilishe manufacture year uwe 2000 Niitumie kwenye Uber!

King_Villa

JF-Expert Member
Feb 6, 2012
575
378
Kwa wataalam wa magari Niko na kanoah kangu kamoja hivi nataka nikabadili mwaka wa kutengenezwa kutoka mwaka 1999 kwenda mwaka 2000 ili niitumie kwenye uber ,sasa sijui kama inawezekana na ikiwezekana ndo nafanyajefanyaje kwenye cadi ya Gari !

By the way biashara ya uber wanataka Gari iliyokuwa manufactured atlest 2000 years !

Wajuzi wa mambo tusaidiane!
 
Mkuu,
Kuna Gari zinajulikana miaka yake kwa wazoefu hata bila ya kuangalia kadi.
Yani kwa wazoefu wakiangalia tu Gari wanajua ya mwaka gani hata bila ya kuangalia kadi.
Kuna Gari zilitolewa mpaka mwaka fulani zikaishia hapo then matoleo yaliyofuata zikabadilika muonekano, zingatia hili pia.
 
Back
Top Bottom