Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,494
- 12,466
Nimekaa na kutafakari hivi kwa nini mtu akiwa kichaa anakuwa anapenda sana uchafu wa kuokota takataka majalalani au barabarani? je ni nguvu za kirohoso ndio hupelekea jambo hilo au namna gani? kwa nini isingekuwa mtu akiwa kichaa labda anakuwa mtu wa kupenda usafi na au kuwa analima sana etc but always kichaa kinakuwa kwenye negative duties ambazo sio normal kwa binadamu wa kawaida...