Ultimate
JF-Expert Member
- Nov 29, 2016
- 739
- 1,890
Hellow bosses,
Tushilikishe channel zako bora 3 za TV na aina ya kingamuzi na bei ya kifurushi cha kulipia uli uzipate
Zangu tatu bora za kila mda ni
1.Discovery Science
2.National Geographic channel
3.BBC News
zote hizipo kingamuzi cha azam kifurush cha 18,000