Baba Ndubwi
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 1,275
- 2,060
Wakuu salam.
Nyumba ninayoishi nikiwa na familia yangu siielewi,hii nyumba tumepanga.
Tangu mwezi desemba,2017 mpaka mwezi juni, 2018 tumeshaua nyoka zaidi ya ishirini(20). Ni zaidi ya ishirini kwa sababu nilipofikisha idadi ya nyoka shirini na kuendelea nikachoka kuhesabu.
Kuna waliokutwa mlangoni,jikoni mmoja,chumbani wawili na wengine mlangoni
Nyoka hawa wanakuwa si wakubwa sana bali ni saizi ya kati.
Mwenye nyumba hatuna tatizo nae.
Rangi zao ni nyeusi na kahawia.
Je, ni kawaida kwa nyoka aina hii kutembelea majumbani?!
Je,wanamadhara yoyote?!
Je,tunaweza kuwadhibiti vipi au tuhame tuu katika nyumba hii?!
Nakaribisha mawazo yenu wakuu.